Wanataka kubana matumizi na matokeo yake ndio hayo...kweli subtitles zinatia aibu sana!!
Jamani wana jf tusaidiane katika hili pia, subtitle kwenye filamu zetu za kinyumbani mi naona bado ni mzozo! Ina maana hao maprodyuza na madairekta hawana uwezo wa kutafuta watu ambao ni compitent ktk lugha hizi mbili yaan eng and swahili au ndo bajeti finyu?!!!! Kwa mpango huu kuvuka boda itachukua muda sanaaaaaaaaaaaa
mi kinanikera sana pamoja na tatizo la uhalisia ktk sinema zetu.pale bakita kuna wataalam wakali sana wa kiingereza na wanafanya kazi ya tasfiri muda mrefu.kwanini wasiwatumia hawa ????
Jumapili kwenye saa tatu na nusu usiku TBC1, walionyesha movie ya hao Step entertaiment. Jina la hiyo movie ilikua ni aibu,,
Iliitwa eti "Precious (Siri ya moyo wangu)"
Hiyo ya kwnye mabano ndo eti wanatufafanulia.
let me a peace of advise kwanini haw awasanii wetu angalao wasiende kusoma manake hamna kitu:frusty:
Mimi sijaona hii filamu, lakini suala la kubadilisha "title" ya filamu katika tafsiri ni jambo linalotumiwa sana. Mara nyingine, mbali na kuangalia tafsiri ya maneno tu, vilevile inazingatiwa jina linalotoa mvuto zaidi kwa filamu. Unafikiri jina TUNU, THAMANI lingelikuwa bora kwa "Precious" katika mukhtadha wa filamu yenyewe?Jumapili kwenye saa tatu na nusu usiku TBC1, walionyesha movie ya hao Step entertaiment. Jina la hiyo movie ilikua ni aibu,,
Iliitwa eti "Precious (Siri ya moyo wangu)"
Hiyo ya kwnye mabano ndo eti wanatufafanulia.