Jamani wana jf tusaidiane katika hili pia, subtitle kwenye filamu zetu za kinyumbani mi naona bado ni mzozo! Ina maana hao maprodyuza na madairekta hawana uwezo wa kutafuta watu ambao ni compitent ktk lugha hizi mbili yaan eng and swahili au ndo bajeti finyu?!!!! Kwa mpango huu kuvuka boda itachukua muda sanaaaaaaaaaaaa