Bongo Movies VS Bongo Fleva

Bongo Movies VS Bongo Fleva

charityboy

Senior Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
138
Reaction score
4
Hivi vikundi viwili kukutana uwanja wa taifa na kucheza mpira ni ishara kuwa katika utawala huu wa JK maisha bado si mabaya sana kama wanasiasa watoto wanavyodai.

Bongo fujo na Bongo bishoo wamedhihirisha hilo leo.

Yeyote mwenye matokeo anijuze jamani.​
 
16.jpg
 
Kwa habari ya kufurahisha macho..oohhhh! zinapendeza sana!
Itakuwa nzuri kama tutajua wamefunganaje...
Lakini pia zimepatikana shiing ngapi kwaajili ya Gongolamboto!
 
Meya%2Bakikabidhi%2Bkombe.JPG


washindi, tunda man nahodha wa bongo fleva akichukua kombe
 
Back
Top Bottom