Bongo muvi amkeni

Bongo muvi amkeni

PAPAA JIWE

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Posts
863
Reaction score
149
Nimekuwa mdau wa bongo movie kwa muda mrefu sana, tangu kipindi kile kina TID na JAYMOE walipokuja na movie yao ya GIRLFRIEND na wengineo wengi waliofuata. Nachoweza kusema kwa ujumla ni kwamba maudhui ya bongo movie ni yale yale ingawa waigizaji wamekuwa wakibadilika kila wakati.

Pamoja na kwamba waigizaji na watunzi wamekuwa wakibadilika, wameshindwa kabisa kujitofautisha kwa ujumbe wanaoubeba, sana sana wamekuwa wakijitofautisha kwa mavazi, magari, majengo mazuri na ubora wa camera zinazotumika kushoot.

Kwa mtazamo wangu mimi, nadhani wanapaswa kubadilika kwa sababu yapo naeneo mengi sana ambayo hayajaguswa kabisa. Tena maeneo hayo yanaweza kuuza copy nyingi ndani na nje ya nchi. Eneo moja wapo ambalo naona bongo movie wamelifumbia macho ni historia ya Taifa.

Bongo movie wanaweza kuigiza maisha ya viongozi mbalimbali wenye rekodi kubwa kama kina Mwalimu, Bibi Titi, Simba wa Yuda, Sokoine Mzee Karume na kadhalika, kupitia wao tukawa tumewaenzi wawee wetu na tukawa tunarithisha vizazi vijavyo historia ya Taifa hili.

Najua yapo maeneo mengine mengi ambayo hayajaguswa ila kwa kuanzia eneo hili naona ni la muhimu sana.

Ni mawazo yangu.
 
Badogo unaangalia bongo movie pole
 
Sawa mkuu komaa nao Nazan wamekuskia
Bongo movies hawako serious na kazi waifanyayo kuanzia mwandishi wa story, ma producer wa movie, ma director, ma editor ,waigizaji wenyewe nk.wamekua wakifanya kimazoea
Hawako creative kabisa unakuta scene zinatakiwa ziwe mbili wenyewe wanaeka moja eti mtu anakunywa vidonge vingi vya dawa kwa lengo LA kuondoa uhai wake kabla hata hajashusha bilauri ya maji anaanza shika koromeo eti dawa zishafanya kazi ndani ya 5 or 1o sec really ndo tuseme dawa za bongo zinafanya kazi kuliko za nchi oote dunian au kwa kua zinakuwa nyingi
 
Hahahahaha bongo season izo
 
Back
Top Bottom