Bongo muvi ubongo lala!

Bongo muvi ubongo lala!

La Pronto

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
973
Reaction score
1,159
Nachek shilawadu hapa nimeamini kweli ukishakua bongo muvi basi hata akili inalala

Kuna Mtu sijui anaitwa niva anahojiwa anajibu kama yupo location!!
 
Napata mashaka hapa kama kweli ni mwanaume rijali huyu,mwanaume anajishebedua kiasi hicho
 
kama ni niva huyu muigizaji anaumama sana and definitely he need a swift kick in his ass
 
Back
Top Bottom