Bongo ndio nchi pekee ambayo mapenzi ni ajira

Pambana uswahilini kwenu kwa wakina asha ngedele. Nyie ndio mmakuja kufungua nyuzi za kula mademu kimasihala humu.
pole sana...me mwenyewe nlkuwa huko namm nlidhani hakuna mwanga na sitaweza shika mil500...
cha muhimu usikate tamaa utafika
 
Utaitwa mchumi boss
 
kawaida mbona leo ndio umeshtuka
 
Heheheh na wanaowaumiza are the most guys who easily gets into their pants. Yani inashangaza mwanamke anavyokuwa mwepesi kukuvulia chupi ukiwa tapeli kuliko ukiwa mkweli and genuine.
Tapeli tena yaani unaombwa hela ya saluni unasema kesho kesho nani atakuelewa hata Simu hujamnunulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…