Bongo ndio nchi pekee ambayo mapenzi ni ajira

Mkuu huyo bitch unakuwa umelokota (disposable) au umempiga verse kimjinimjini baada ya kuchukua contacts!
 
Mi nishakuwa nao wawili
Hivi inawezekana kabisa humu hamna wakaka wanaokutana na wadada wasiotanguliza pesa mbele kwenye mahusiano??
but kitu ambacho nimegundua i was good at picking the right cherries! Ila wenzangu wanalalamika na pia nimeshuhudia kuwa i was a really lucky dude..πŸ˜…
 
kuja moja nilizima simu kesho yake akaniambia au ulijua nitakuomba vocha tena? πŸ˜…πŸ˜… nikajua huwa yanafanya makusudi
Ungemwambia sim tu ilizima chaji tu, ya jana yashapita tuyaache...Af hapo linaomba vocha lichat na Gerlad wakati we unamenyeka!
 
Aseeh she a dangerous...oh yeah!
Mama ni kitu kali aseeh...
she a dangerous...oh yeah!

Hayo mambo yote ni utapeli tu! Kuna majamaa bado yanapigwa lakini sie wachache tuliosanuka tunaitwa hatuna hela πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au bahili
 
Huwa najiuliza sana, how come these guys huwa wanakutana na wanawake wa aina hiyo hiyo kila siku[emoji848][emoji848]

Inabidi wajitazame usikute wanalalamika ilhali wao wenyewe ndio tatizo [emoji57][emoji57]
Ngumu sana kwa kweli, huwa hawajui wanachokitafuta kwenye mahusiano, wanataka kuonyesha nguvu ya pesa kwenye penzi, demu akirespond wanalalamika kwamba ni biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…