😃😃😃😃 kazi sana mwambaa.. wengine tumwkata ring kabisa la mapenzi.. tunasubiri Neema za Mungu tu.. kurudi tena huko.."Kwa hali ilivyo sasa viumbe esp. jinsia pinzani waishio katika Tized hasa maeneo ya mijini wamegeuza swala la mapenzi kuwa kama ajira kwa maana wanadai stahiki zote a.k.a house allowance, transport allowance bila kusahau invoice za kujikimu a.k.a per diem yani misosi, saluni, vocha vocha hizi!
Haya mambo ameyaongea jamaa yangu kwa hasira nikacheka sana akidai kwamba hali ni tete.
Nilimcheka sana jamaa ila nimeona nije kushea nanyi mnieleze experience zenu kuhusu hili! Je, kweli hawa watoto wamefikia kiwango hicho?
Wanatazamaga upepo.. kuna mademu any time ukiwaita wanafika.. ila akiitwa na mtu mwingine inakuwa gear hazikaeli.. hadi mtu akate tamaa 😃😃😃Hahahah hawa wanawake wa kujivunjiaga ratiba wanaudhi kicenge!
Kama mtu haji bora aseme sio unakula alkasusu kisha anasema haji🤣🤣🤣
Pesa sio kigezo cha kwanza kwangu mimi, unaweza ukanifata na mahela yako yamejaa hata briefcase halafu unanuka jasho au huna mwonekano ninaoupenda nikaishia tu kukutazama kuanzia juu hadi chini wala nisikujibu, jicho langu tu litakukimbiza na hutakaa urudi ng'ooo🤣🤣🤣We mwanaume akikufata na maneno matupu bila kuona dalili ya hela mtaelewana kweli au ndio ile...
"Mtende nakupenda sana mama ntafarijika sana kama utakuwa sehemu ya maisha yangu"....
"Asante nashukuru kwa kunipenda!"
Jicho kama hilo hapo kwa avatar mamiii?Pesa sio kigezo cha kwanza kwangu mimi, unaweza ukanifata na mahela yako yamejaa hata briefcase halafu unanuka jasho au huna mwonekano ninaoupenda nikaishia tu kukutazama kuanzia juu hadi chini wala nisikujibu, jicho langu tu litakukimbiza na hutakaa urudi ng'ooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpaka umpate utakuwa umemaliza pea saba za viatuHivi inawezekana kabisa humu hamna wakaka wanaokutana na wadada wasiotanguliza pesa mbele kwenye mahusiano??
Nikukutana na mwanamke wa design hii huwa lazima nirudi tena na nitamtafuta hadi nitafanikiwa kuwa nae.Pesa sio kigezo cha kwanza kwangu mimi, unaweza ukanifata na mahela yako yamejaa hata briefcase halafu unanuka jasho au huna mwonekano ninaoupenda nikaishia tu kukutazama kuanzia juu hadi chini wala nisikujibu, jicho langu tu litakukimbiza na hutakaa urudi ng'ooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana, jicho kama la kabudiJicho kama hilo hapo kwa avatar mamiii?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] natamani nije hilo jicho linikimbizeeHapana, jicho kama la kabudi
Kwani pea ya viatu sh. Ngapi???Mpaka umpate utakuwa umemaliza pea saba za viatu
Ndio hvyo mkuu wanawake wa kiswahili hawajui kabisa umuhimu wa muda.Hahahah hawa wanawake wa kujivunjiaga ratiba wanaudhi kicenge!
Kama mtu haji bora aseme sio unakula alkasusu kisha anasema haji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wapuuz puuz sana wtt wa kiswahili.Ndio hvyo mkuu wanawake wa kiswahili hawajui kabisa umuhimu wa muda.
Mtu unastopisha mishe zote za kwenda kutafuta pesa ukijua leo mtoto anakuja nienjoy naye.
Inafika mchana au jioni anakwambia siwezi kuja nyumbani kuna mgonjwa.
Wakati huo kuna mishe za pesa umeziachia
Utakuwa unajiweza sana basi maana sio kwa dharau hizo mbele ya brifkes lenye kusheheni mashuka ya mmasai 😂!!!Pesa sio kigezo cha kwanza kwangu mimi, unaweza ukanifata na mahela yako yamejaa hata briefcase halafu unanuka jasho au huna mwonekano ninaoupenda nikaishia tu kukutazama kuanzia juu hadi chini wala nisikujibu, jicho langu tu litakukimbiza na hutakaa urudi ng'ooo🤣🤣🤣
Una patch ya kuwaingilia sio 😂😂😂 hao si wanapendaga kuchekecha confidence!Nikukutana na mwanamke wa design hii huwa lazima nirudi tena na nitamtafuta hadi nitafanikiwa kuwa nae.
Anaeanza kwa kuleta hizi pozi/nyodo/ dharau/ n.k
Kwa experience yangu asilimia kubwa ya hawa dada zetu ukijaribu kuanzisha mahusiano nao wanakugeuza kitego uchumi. Na hii sio kwa Tz tuHuwa najiuliza sana, how come these guys huwa wanakutana na wanawake wa aina hiyo hiyo kila siku🤔🤔
Inabidi wajitazame usikute wanalalamika ilhali wao wenyewe ndio tatizo 😏😏
Sio swala la kujiweza, ni swala la kuheshimu vipaumbele vyako na choices zakoUtakuwa unajiweza sana basi maana sio kwa dharau hizo mbele ya brifkes lenye kusheheni mashuka ya mmasai [emoji23]!!!
Wanawake wa kuangalia muonekano wamepungua sana, sikuhizi HB ni kidume mwenye penenge!
Acha hizo wewe! Sasa mtu mwenye pesa atanuka vipi jasho?! Labda pesa za mapaka! 🤣🤣🤣Pesa sio kigezo cha kwanza kwangu mimi, unaweza ukanifata na mahela yako yamejaa hata briefcase halafu unanuka jasho au huna mwonekano ninaoupenda nikaishia tu kukutazama kuanzia juu hadi chini wala nisikujibu, jicho langu tu litakukimbiza na hutakaa urudi ng'ooo🤣🤣🤣
Anawezekana asiwe ananuka jasho lakini bado akawa hayupo kwenye choices zangu, point yangu ni kwamba wakati mwingine pesa sio kigezo cha kupendwa na mwanamke, na hiki me wengi wanafeli kujuaAcha hizo wewe! Sasa mtu mwenye pesa atanuka vipi jasho?! Labda pesa za mapaka! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]