Bongo ndio nchi pekee ambayo mapenzi ni ajira

Sio swala la kujiweza, ni swala la kuheshimu vipaumbele vyako na choices zako
Kwahio kipaumbele chako tall handsome and black au sio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we swala la pesa hujali!
 
No. Wanaweke wengi wanapenda mwanaume mwenye pesa kwanza haya mambo ya utu na tabia ya mtu yanakuja baadae, hapo mwanamke tayari anakua ameshanasa kwenye penzi. Lakini for the first impression mnaangalia uwezo wa kiuchumi.
 
Kwa experience yangu asilimia kubwa ya hawa dada zetu ukijaribu kuanzisha mahusiano nao wanakugeuza kitego uchumi. Na hii sio kwa Tz tu
Waswahili wanasema "Ukarimu huanzia nyumbani." kwahiyo embu anzeni kwa kuwasaidia mabinti(dadaz, wadogo, daughters & nieces majumbani waweze kujitegemea. That way wachunaji watapungua kwenye mzunguko....hata kama sio leo but they will.
 
Nadhani hii ni mentality ya wanawake hata kama ana kipato lazima akupige mizinga! Na akiwa hana kitu ndio kabisa utapigwa sindano mpaka ukimbie 🀣🀣
 
Kwahio kipaumbele chako tall handsome and black au sio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we swala la pesa hujali!
I didnt say so, huko nilishatoka siku nyingi, nalea wajukuu sasa, hayo mambo niwaachie nyie vijana
 
I didnt say so, huko nilishatoka siku nyingi, nalea wajukuu sasa, hayo mambo niwaachie nyie vijana
Mtende Bora umesema kumbe now umekuwa bi kizee Ila kipindi unabalehe hukuwahi zivungia pesa... Lazima pesa iwepo ili mapenz yashamiri... OGOPA SANA MANZI MWENYE VICOBA KAMA SABA..
 
na hili ndilo tunalofanya sku hz! Siwez kua na demu afu anibebeshe majukum ya babake Qmmmmmk!!!
 
Mtende Bora umesema kumbe now umekuwa bi kizee Ila kipindi unabalehe hukuwahi zivungia pesa... Lazima pesa iwepo ili mapenz yashamiri... OGOPA SANA MANZI MWENYE VICOBA KAMA SABA..
Enzi zetu pesa ilikua sio kigezo, siku hizi maisha yamebadilika sana, ila ile miaka ya 70 tulikua tunaangalia sana utu maana tuliamini ndani ya utu kuna upendo, uvumilivu, ucha Mungu, kuchukuliana pamoja na mapenzi ya dhati, kuhusu pesa tulikua tunatafuta tukishaingia ndoani yaani mnaanza maisha sasa ya shida na raha
 
No. Wanaweke wengi wanapenda mwanaume mwenye pesa kwanza haya mambo ya utu na tabia ya mtu yanakuja baadae, hapo mwanamke tayari anakua ameshanasa kwenye penzi. Lakini for the first impression mnaangalia uwezo wa kiuchumi.
Wanaume mnatakiwa tu kujiamini, hawa wadada wanaweza kuwapenda tu hata bila hizo pesa, tatizo mnaamini nguvu ya pesa na bapo ndio mnapokosea
 
Aseeh she a dangerous...oh yeah!
Mama ni kitu kali aseeh...
she a dangerous...oh yeah!

Hayo mambo yote ni utapeli tu! Kuna majamaa bado yanapigwa lakini sie wachache tuliosanuka tunaitwa hatuna hela [emoji23][emoji23][emoji23] au bahili
Huna hela ndio[emoji16][emoji16][emoji28]

Mwenye hela hafungui uzi kama huu
 
Umeongea kitu kikubwa lkn hawa hawatuelewi, achana nao[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…