Sawa nitaandika hapa.
Sawa nitaandika hapa.
Lizzy husika na mada tajwa juu.
Mimi Daby ni kijana mwenye umri wa kati....najishughulisha na biashara ya kuuza dawa za asili (kimasai).
Muonekano nina kitambi kidogo....mfupi mfupi na mweusi. Naomba unionyeshe alipo mrembo asiyehitaji pesa.
kuhonga hakuwezi kukufanya usiwe tajiri mkuu, fanya ubahili kwingine kote bt ukitaka ku-log in papuchi za wadada toboka tu ndo uanaume huoubahili ndio siri ya kuwa tajiri
Khaa...hujui kakitambi mjini heshima... wakikuona na kakitambi hata kama umeegemea Passo ya mtu wanajua yako.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa Daby kwasababu vigezo lazima vizingatiwe, fanya namna uondoe hako kakitambi ndo nianze mchakato [emoji41][emoji41]
Alafu hakuna mtu ASIYEHITAJI pesa (iwe mwanamke au mwanaume) usije ukanifunga bure baadae.[emoji849][emoji849] Ishu ni kutumiana miili yetu, ama kuwatumia ninyi kama kitega uchumi.....
🤣🤣🤣🤣🤣 naelewa...naelewa lakini sasa upande huu vigezo navyo ni tofauti baba. Usipokidhi itabidi ubaki huko huko kwa wachunaji 😏😏Khaa...hujui kakitambi mjini heshima... wakikuona na kakitambi hata kama umeegemea Passo ya mtu wanajua yako.
Kama hela Huna mademu wa nn nyetuka tu (Tena nako si bure per se) lazima kununua sabuni na uwe na privacy chumbaniHela ni ishu
Modern men have to learn how to be selfish with their resources. Women are extremely self-serving, and so should you. It is not a coincidence that women gravitate towards financially successful men, and rightfully so.
You, as a financially successful man, should reciprocate by using the least resources and deriving the most value from any woman/women you are interested in. Women really hate successful men who are smart with their resources and that's why they label them as stingy (bahili).
Ukiona mwanaume anaitwa stingy, just know he is a smart man who sampled goods for the least cost/resources. A master of the game in urban "warfare". Women really hate this kind of man because he basically outsmarts them by dangling his resources.
Nashukuru Mtende umekubaliana na post kuwa siku hizi Mambo yamebadilika.tofauti kabisa na enzi hizo..SIKU HIZI UKIOMBA NAMBA KWA DADA YEYOTE NI SAWA NA KUSEMA UMEHAMISHIA SHIDA ZAKE ZOTE ZIJE KWAKO YAAN UWE NDO MTATUZI,Enzi zetu pesa ilikua sio kigezo, siku hizi maisha yamebadilika sana, ila ile miaka ya 70 tulikua tunaangalia sana utu maana tuliamini ndani ya utu kuna upendo, uvumilivu, ucha Mungu, kuchukuliana pamoja na mapenzi ya dhati, kuhusu pesa tulikua tunatafuta tukishaingia ndoani yaani mnaanza maisha sasa ya shida na raha
Uzi wako umepata like 41 mpaka sasa za Wanaume tun"Kwa hali ilivyo sasa viumbe esp. jinsia pinzani waishio katika Tized hasa maeneo ya mijini wamegeuza swala la mapenzi kuwa kama ajira kwa maana wanadai stahiki zote a.k.a house allowance, transport allowance bila kusahau invoice za kujikimu a.k.a per diem yani misosi, saluni, vocha vocha hizi!
Haya mambo ameyaongea jamaa yangu kwa hasira nikacheka sana akidai kwamba hali ni tete.
Nilimcheka sana jamaa ila nimeona nije kushea nanyi mnieleze experience zenu kuhusu hili! Je, kweli hawa watoto wamefikia kiwango hicho?
kwa maneno haya inaonekana we ni katibu wa mabihili TZ na kwa mantiki hiyo utaendelea kulog in papuchi za wadada wa kawaida na si pisi qaliI'm smart with my resources bro! Kutoboka ni for amateurs
Unadhani hatutaki kuoa ndugu! Kumbuka wa kuwaoa ndio hao hao wapiga mizinga reloaded. Plus Mahari nayo ambayo kwa sasa imekuwa ka mtaji kwa familia ya muolewaji.Kwanini msioe Mbona nirahisi tu