Bongo negativity na wivu

Bongo negativity na wivu

Mzee toka nje ya Jf na uende kwenye forum yao au hata tu kwenye forum ya nigeria nairaland uone jinsi wanavyoitukana Tz na tena sometimes kwenye threads ambazo zinaiongelea Kenya ila wataiweka Tz ili wao waonekane wapo better off. Kiukweli Wakenya wanatudharau sana watz na hata wakiona jambo positive ni lazma watatafuta point of weakness ili wasiivunje superiority au ego yao. Sikatai kuwa sometimes wanakuwa ni wakweli maana tuna madhaifu lakini sio kwa kiwango hicho

Sikubaliani na watu wanaofurahia majanga japo wanajulika maana ni wale wapenda league za humu na wao hawawezi kutumika kama ndio "Watanzania".. Guys bila mzungu kuchora mipaka huu ukenya na utanzania ungetokea wapi



Sent using Jamii Forums mobile app

Mkulu tunaomba hizo forums tuwafuate huko huko.
 
This one especially....I will never understand our neighbours to the south. Remember when they had a ferry accident and we consoled them and supported them, because you can never wish death even to your worst enemy. Tragedy can happen to anyone because we cannot control disasters....But wait until disaster strikes in Kenya...Remember Dusit attack, todays kidnapping of two Cuban doctors...They were all over celebrating that they had something to talk about in JF and something to troll Kenyans about...I saw another one post about the unfortunate incident of Ivy Wangechi, the Medicak student killed by her her 'supposed boyfriend' and he was saying Kenyans in general lack morals, like how can someone go about killing another like he has no brain....I just looked at that comment and passed it...It was not worth replying..It lack sense in all forms and humanity in it...Well the point is, our neighbours wish that bad things happen in Kenya so that they can talk about it....Personally I love Tz, I have been there...Had a conference at Mlimani City Conference Hall, went to Oyster Bay....Clubbed there for a week, went to Coco beach enjoyed myself there...Had some good time with some of their ladies (btw they are very beautiful)....Made some good friends whom we still talk to date, kwanza a lady by the name Levina…….But that does not mean I cannot share constructive criticism about Tz aimed at making it better, and this is what this forum is all about...and same case to them...That way, this forum will be meaningful to all!

Forget bout em, There a bunch of Kenyans who are very arrogant so what you get is a result of certain group of your people actin like psychopaths.
 
Not true. Tanzanians like jokes. You are getting emotional now. We do the same even to our own. That is what we call rivary. Putting jokes aside we never celebrate deaths of any Kenyans.
Kenyans pay the same entrance fees as locals in all national parks in Tanzania.

Nimeona niongee Kikenya kuonyesha msisitizo[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenifanya nicheke kwa sauti, yaani kama polisi kwenye Bongo Movie:-

"Kila utakachotamka kuanzia sasa linaweza kutumika kama ushahidi, una haki ya kuendelea kuongea au kukaa kimya".
Sasa wewe chagua Ku comment au kukaa kimya[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom