"Bongo nyoso" na "katoa boko" vina uhusiano na Juma Nyoso na John Boco?

"Bongo nyoso" na "katoa boko" vina uhusiano na Juma Nyoso na John Boco?

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Mtu akisema "bongo nyoso" inamaana bongo noma, au hatari, au ujanja ujanja mwingi.

Mtu akisema umetoa boko ni kama umeharibu, hukufanya kama ilivyotarajiwa au ilivyozoeleka, sasa je? Kuna uhusiano wa na lile tukio la wachezaji au ni coincedence ?
 
Back
Top Bottom