Bongo Radio Inatafuta Watangazaji na DJs

Geeque

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2007
Posts
936
Reaction score
319
Habari za leo wanajamii,

Kwa niaba ya timu nzima ya Bongo Radio ningependa kuwatangazia wale wote wenye mapenzi ya kuwa watangazaji wa vipindi mbalimbali vya radio na u-DJ kuwa tunawaalika wajiunge nasi ndani ya Bongo Radio. Nafasi hizi ni kwa wale wote ambao wangependa kujiendeleza zaidi na utangazaji na DJs wote ambao wangependa kutangaza zaidi kazi zao kupitia LIVE Shows. Nawakaribisha wote ambao mngependelea kujiunga nasi, unaweza kuniandikia hapa au kwenye PM kuhusiana na swali lolote utakalokuwa nalo.

Mahitaji Muhimu kwa Yeyote Atakayependa kuwa Mtangazaji au DJ.
1)Laptop au PC preferably yenye Windows XP ingawa Vista nayo sio mbayo sana.

2)Microphone ya kawaida tu hata za PC zinafaa

3)High Speed Internet Connection ni vizuri zaidi ikiwa ni Cable ingawa hata DSL inaweza kufaa baada ya marekebisho kidogo.

4)Uwezo wa kuongea bila ya aibu na kwa uchangamfu na ufasaha katika utamshi wa maneno ya kiswahili au kingereza. (mfano ni neno idhaa na si izaa au orodha na si oloza au neno kubali na si kubari)

Vipindi ambavyo bado vinahitaji watangazaji na Djs ni Kama Muziki Wa Pwani hasa Mduara na Mchiriku, Taarab, Sebene, Muziki Wa Dansi au Zilipendwa, Bongo Flava, Dancehall, Roots Reggae, Muziki wa Injili (Gospel), Genge, Soukous na Coupe Decale, Muziki Asililia, Comedy, Habari za Siasa na Matukio, Gossip na vingine vingi. Pia kama una pendekezo lolote la kipindi usisite kuwasiliana nami.

Ahsanteni Wote,
Bongo Radio Team.
Chicago, IL
USA.
 
Last edited:
Mshahara au marupurupu??????????????????????????????????????
 
kama DINAH yupo basi powa,maanake mimi naamini anayo PH.D katika sayansi ya ngono-inabidi umsikilize ndio unielewe.GEEQUE hebu wakumbushe ni time gani dinah yuko live jumapili
 
Dinah bado yupo Kama Kawa Mazee (Son of Sarah Palin) teh teh teh na kipindi chake hurushwa kila Jumapili kuanzia 12 Noon Central Standard Time (US). Yeah ni kweli kwenye mambo ya Mapenzi, Mahusiano na Ngono, Dinah amebobea kupita kiasi yaani mambo yake ni makubwa saana na ukimsikiliza hutaki kuacha, muulize Mzee Mkubwa wa mitaa ya Magogoni kule Bongo maana yeye ni mpenzi mkubwa wa ile Show hahahah.
 
Mzee wa magogoni anategea jumapili sio? ...lmao
 
GQ, Nataka slot ya old skool...

Mazee hakuna noma kabisa Mazee YE, nistue tu kwenye PM mida gani itakuwa kwako fresh na tuone slot gani unaweza kupata, holla.
 
Habari za leo wanajamii,

Kwa niaba ya timu nzima ya Bongo Radio ningependa kuwatangazia wale wote wenye mapenzi ya kuwa watangazaji wa vipindi mbalimbali vya radio na u-DJ kuwa tunawaalika wajiunge nasi ndani ya Bongo Radio. Nafasi hizi ni kwa wale wote ambao wangependa kujiendeleza zaidi na utangazaji na DJs wote ambao wangependa kutangaza zaidi kazi zao kupitia LIVE Shows. Nawakaribisha wote ambao mngependelea kujiunga nasi, unaweza kuniandikia hapa au kwenye PM kuhusiana na swali lolote utakalokuwa nalo.

Mahitaji Muhimu kwa Yeyote Atakayependa kuwa Mtangazaji au DJ.
1)Laptop au PC preferably yenye Windows XP ingawa Vista nayo sio mbayo sana.

2)Microphone ya kawaida tu hata za PC zinafaa

3)High Speed Internet Connection ni vizuri zaidi ikiwa ni Cable ingawa hata DSL inaweza kufaa baada ya marekebisho kidogo.

4)Uwezo wa kuongea bila ya aibu na kwa uchangamfu na ufasaha katika utamshi wa maneno ya kiswahili au kingereza. (mfano ni neno idhaa na si izaa au orodha na si oloza au neno kubali na si kubari)

Vipindi ambavyo bado vinahitaji watangazaji na Djs ni Kama Muziki Wa Pwani hasa Mduara na Mchiriku, Taarab, Sebene, Muziki Wa Dansi au Zilipendwa, Bongo Flava, Dancehall, Roots Reggae, Muziki wa Injili (Gospel), Genge, Soukous na Coupe Decale, Muziki Asililia, Comedy, Habari za Siasa na Matukio, Gossip na vingine vingi. Pia kama una pendekezo lolote la kipindi usisite kuwasiliana nami.

Ahsanteni Wote,
Bongo Radio Team.
Chicago, IL
USA.

mambo yameiva!!! kudos mkuu!!
 
Back
Top Bottom