Elections 2010 Bongo Radio yaendesha mjadala wa Uchaguzi Live

Huyu jamaa wa London anafurahisha kweli .... waruhusu basi na wengine waongee. Watu wanataka kumsikia Kiranga et al
 
CHADEMA walimtoa wapi huyo mgombea? walikuwa wanamfahamu kabla au walimkokota tu mitaani? samahani lakini kama unafahamu utaratibu wa kuwapata wagombea wa ubunge CHADEMA naomba nijulishe.

Huyo mgombea ni mwalim wa chuo kikuu Dodoma, ana elimu ya kutosha, na kila mtanzania ana haki ya kugombea nafasi ya ubunge, sijui wewe kama binadamu ungetumia vigezo gani kutambua kuwa hafai? Sijui kama tungeweza mtambua kuwa atanunuliwa! wewe ungefanyaje hapo?
 
nilikuwa naangalia tv wakawa wanaonyesha manyani na twiga wametoa africa kule wanauzwa si chini ya dola 5000/= kwa hiyo kumbe inawezekana wengine wametolewa bongo? leh!!
Sii inawezekana ila ndivyo ilivyo. Miafrika ndivyo Tulivyo - bob!
 
nilikuwa naangalia tv wakawa wanaonyesha manyani na twiga wametoa africa kule wanauzwa si chini ya dola 5000/= kwa hiyo kumbe inawezekana wengine wametolewa bongo? leh!!

Aisee hao watakuwa wanyama wetu, katika dunia hii ni Nchi ya Tanzania pekee wanapouza wanyama pori wakiwa hai, yaani wanahamisha rasimali. zamani ilikuwa ikifanyika kwa magendo, ila leo hii wawekezaji wanapewa leseni kabisa! wanakuja kupakia na ndege za mizigo direct toka mbugani. Tanzania nchi yangu jamani...
 
simu ya mwishi imegigwa kutoka botswana ,big up GQ Mungu Akubariki sana na nadhani huu mjadala kama ikiwezekana utatuwekea tena siku nyingine.
 
leh!! tena zilikuwa ni nchi hizi za uarabuni wamewanunua africa kwa bei chee then nadhani wanawauza europe huko. leh!!
 
simu ya mwishio ipegigwa kutoka botswana ,big up GQ Mungu Akubariki sana na nadhani huu mjadala kama ikiwezekana utatuwekea tena siku nyingine.

kweli mazee ... jamaa wa botswana ametoa upande mwingine kwa wale ambao kila siku wanapondea kuwa watu wa ulaya na marekani ndio wanapondea serikali ya Kikwete.
 
Mie nashauri katika kipindi hiki cha kuelekea kufanya mapinduzi ya kumgóa Fisadi Mkuu Kikwete, Bongo radio iwe sehem ya Jamii forums na kila siku tuwe na masaa kadhaa ya kupiga simu ya kupeana habari na harakati zinavyoendelea, tuwaalike hata hao mafisadi wakuu tufanya nao debate hapa. Na tuungane kuwaomba waachie ngazi kistaarabu.
 
nadhani maswali kama haya anaweza kuyajibu GQ kwanza tumetumia mda wake mwingi kuliko alivyokuwa amepanga ,mzee wa botswana anamshukuru GQ kwa kuwezakumshauri mzee wa Temeke kwenda kupiga kura.
 

No iendelee kuwa haifungamani na upande wowote kama jamii forums ilivyo ili nao wa upande wa pili tuendelee kuwasikia wanasemaje na maovu yao
 
QG anamshukuru Dina na Jibaba anasema msikose kumsikiliza Dina siku ya j2 anaongelea mambo ya mapenzi
 
kuna mtu kapiga simu hapa, sio Kiranga kweli?
 
Shukran Geeque,ila ungeongea na kina invisible muwe mnaweka mdahalo huu mara kwa mara kabla ya uchaguzi....Kauli za badhi ya watanzania walioko duniani kote zinaonyesha kuwa time for change is now!Pia muwe na MKJJ mtaweka timu nzuri tu...Good work!
 
QG anamshukuru Dina na Jibaba anasema msikose kumsikiliza Dina siku ya j2 anaongelea mambo ya mapenzi

Wale wa jukwaa la kule bondeni ndo kipindi chao hicho kama vip GQ ampe Maria Roza apige duet hicho kipindi na Diana
 
Hiyo nyimbo ya Roma Gquee ni msumariiiii
 
geeque anawashukuru wana jamii forums kwa ushiriki wao, mi napenda kumshukuru nyani kwa kutu alert kuhusu program, keep it up, mmeifanya ijumaa yangu kwenye internet kuwa nzuri.
 
Mkuu Geeque kibao safi sana hicho kina message,nani hao?
 
Roma anasema mlimuua amina hiki ni chuma cha reli
 
Pia topic zingine nyingi GQ utoe nafasi humu tukupe ideas ili tuwe tunatoa mawazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…