Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHADEMA walimtoa wapi huyo mgombea? walikuwa wanamfahamu kabla au walimkokota tu mitaani? samahani lakini kama unafahamu utaratibu wa kuwapata wagombea wa ubunge CHADEMA naomba nijulishe.
Sii inawezekana ila ndivyo ilivyo. Miafrika ndivyo Tulivyo - bob!nilikuwa naangalia tv wakawa wanaonyesha manyani na twiga wametoa africa kule wanauzwa si chini ya dola 5000/= kwa hiyo kumbe inawezekana wengine wametolewa bongo? leh!!
nilikuwa naangalia tv wakawa wanaonyesha manyani na twiga wametoa africa kule wanauzwa si chini ya dola 5000/= kwa hiyo kumbe inawezekana wengine wametolewa bongo? leh!!
leh!! tena zilikuwa ni nchi hizi za uarabuni wamewanunua africa kwa bei chee then nadhani wanawauza europe huko. leh!!Aisee hao watakuwa wanyama wetu, katika dunia hii ni Nchi ya Tanzania pekee wanapouza wanyama pori wakiwa hai, yaani wanahamisha rasimali. zamani ilikuwa ikifanyika kwa magendo, ila leo hii wawekezaji wanapewa leseni kabisa! wanakuja kupakia na ndege za mizigo direct toka mbugani. Tanzania nchi yangu jamani...
simu ya mwishio ipegigwa kutoka botswana ,big up GQ Mungu Akubariki sana na nadhani huu mjadala kama ikiwezekana utatuwekea tena siku nyingine.
nadhani maswali kama haya anaweza kuyajibu GQ kwanza tumetumia mda wake mwingi kuliko alivyokuwa amepanga ,mzee wa botswana anamshukuru GQ kwa kuwezakumshauri mzee wa Temeke kwenda kupiga kura.Mie nashauri katika kipindi hiki cha kuelekea kufanya mapinduzi ya kumgóa Fisadi Mkuu Kikwete, Bongo radio iwe sehem ya Jamii forums na kila siku tuwe na masaa kadhaa ya kupiga simu ya kupeana habari na harakati zinavyoendelea, tuwaalike hata hao mafisadi wakuu tufanya nao debate hapa. Na tuungane kuwaomba waachie ngazi kistaarabu.
Mie nashauri katika kipindi hiki cha kuelekea kufanya mapinduzi ya kumgóa Fisadi Mkuu Kikwete, Bongo radio iwe sehem ya Jamii forums na kila siku tuwe na masaa kadhaa ya kupiga simu ya kupeana habari na harakati zinavyoendelea, tuwaalike hata hao mafisadi wakuu tufanya nao debate hapa. Na tuungane kuwaomba waachie ngazi kistaarabu.
QG anamshukuru Dina na Jibaba anasema msikose kumsikiliza Dina siku ya j2 anaongelea mambo ya mapenzi
kuna mtu kapiga simu hapa, sio Kiranga kweli?