Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
- Thread starter
-
- #121
Alikuwa bubu Ataka Kusema, bahati mbaya bado hawezi kuongea!
skype yake ndio mazee sijui anatumia ipi!! kma kuna mtu anaijua tunaomba atumwagia jamaa sauti yake inafanana na ya mwanakijiji
hamna shida mjomba ww we unatembelaea websit ya mwana kjj na JF utapata updates zoteKuwa informed mapema itasaidia watu ku mobilize watz kutoka ndani na nje ya nchi ili kuweza kushiriki moja kwa moja na kupata maoni yao, pia mjiandae kuendesha kipindi zaidi ya masaa 6, naamini kutakuwa na michango mbalimbali.
Na huu mwaka hii JF itanifelisha pepa for i can't help it!
Usijali mazee, ilete hiyo pepa hapa itachambuliwa tu, na ukitoka hapa lazima utakuwa profesa wa elim dunia, JF imekamilika kila idara!Na huu mwaka hii JF itanifelisha pepa for i can't help it!
Upo mkuu wangu, siku nyingi sana sijakusikia niliona Geee mtu kaingia mitini... kulikoni?Tunawashukuru wote kwa michango, maoni na mapendekezo yenu na tunaahidi kuyafanyia kazi ili ikiwezekana tuwe na Mdahalo mwingine mrefu kabla ya Uchaguzi. Ningependa pia kumshukuru sana Nyani na wengine wote kwa kuweza kuwafahamisha wengine hapa jamvini.
Tunawashukuru wote kwa michango, maoni na mapendekezo yenu na tunaahidi kuyafanyia kazi ili ikiwezekana tuwe na Mdahalo mwingine mrefu kabla ya Uchaguzi. Ningependa pia kumshukuru sana Nyani na wengine wote kwa kuweza kuwafahamisha wengine hapa jamvini.
Mazee siku nyingi sana kweli mambo vipi lakini, mimi nipo ila mihangaiko tu mingi, hahahaha sijaingia mitini mapambano yanaendelea kama kawaida. Wanasemaje huko.Upo mkuu wangu, siku nyingi sana sijakusikia niliona Geee mtu kaingia mitini... kulikoni?
Wengine tumekosa mjadala. Vipi umerekodiwa mtandaoni?
Tuliweza kurekodi Mdahalo wote na nimeamua kuuweka hapa, sijaufanyia editing kwa hiyo nimeweka kama ilivyokuwa.
Mdahalo Wa Uchaguzi Mkuu Tanzania 2010 Ndani Ya BONGO RADIO Part 1
Mdahalo Wa Uchaguzi Mkuu Tanzania 2010 Ndani Ya BONGO RADIO Part 2
Hiyo Radio inapatikananaje nami niweze kuisikiliza nisaidieni