Elections 2010 Bongo Radio yaendesha mjadala wa Uchaguzi Live

Elections 2010 Bongo Radio yaendesha mjadala wa Uchaguzi Live

GQ anasema atafanya kila jitihada ili tuweze kuufanya huu mdahalo tena na anasema atamwambia Mwanakijiji ndio atakuwa hewani .Big up GQ
 
Naomba kuhusu kipindi kichacho cha uchaguzi tuwe informed one week in advance, coz wengine tumekuta kipindi kimeeshaanza
 
skype yake ndio mazee sijui anatumia ipi!! kma kuna mtu anaijua tunaomba atumwagia jamaa sauti yake inafanana na ya mwanakijiji

Ni ileile bongo radio ukiomba inakubali maramoja kukonnect na inaonesha iko hewani but so busy. Ile ya Mimi mwanakijiji iko off air or invisible!
 
Geeque na MKJJ wana sauti za mvuto na inapelekea utake kuwasikiliza tu!Tumieni kipaji chenu bandugu kutupa burudani na at the same time ku send message.
 
Utaona wanamume wengine, huwapa talaka wake zaoo, bado wanawapendaaaaa x 2

Mke akisharudi nyumbani kwao, bwana anakwenda , kumbembeleza x 2

Booonge la dude, linanikumbusha bongo loong time. Huyu ni Jerry Nashon, Shabani Dede au Bitchuka ?

Midude kama hii saa tano tano kipindi cha "Wakati wa kazi" RTD haikosi. Unasikia nyuzi bin nyuzi, hamna autotune hapo.

Where is FMES when you need him ?

Halafu unaenda kunimaliza kabisa na Maneti na Vijana Jazz katika "Maria'. Angekuwapo FMES hapa lazima angekutuza.
 
Kuwa informed mapema itasaidia watu ku mobilize watz kutoka ndani na nje ya nchi ili kuweza kushiriki moja kwa moja na kupata maoni yao, pia mjiandae kuendesha kipindi zaidi ya masaa 6, naamini kutakuwa na michango mbalimbali.
 
hamna shida mjomba ww we unatembelaea websit ya mwana kjj na JF utapata updates zote
 
Shukrani kwa kazi nzuri bongoradio ombi langu itakua vizuri kama kutakuanauwezekano kwa mdahalo utakaofuata kama utaishauri radio mbalimbali bongo kuurusha.Ingawa nafahamu kunaugumu.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Na huu mwaka hii JF itanifelisha pepa for i can't help it!
Usijali mazee, ilete hiyo pepa hapa itachambuliwa tu, na ukitoka hapa lazima utakuwa profesa wa elim dunia, JF imekamilika kila idara!
Ni muhimu sana uweke historia katika kuikomboa nchi yako toka shimoni..., ni silaha pekee ni JF.
 
Tunawashukuru wote kwa michango, maoni na mapendekezo yenu na tunaahidi kuyafanyia kazi ili ikiwezekana tuwe na Mdahalo mwingine mrefu kabla ya Uchaguzi. Ningependa pia kumshukuru sana Nyani na wengine wote kwa kuweza kuwafahamisha wengine hapa jamvini.
 
Upo mkuu wangu, siku nyingi sana sijakusikia niliona Geee mtu kaingia mitini... kulikoni?
 
Wengine tumekosa mjadala. Vipi umerekodiwa mtandaoni?
 
Upo mkuu wangu, siku nyingi sana sijakusikia niliona Geee mtu kaingia mitini... kulikoni?
Mazee siku nyingi sana kweli mambo vipi lakini, mimi nipo ila mihangaiko tu mingi, hahahaha sijaingia mitini mapambano yanaendelea kama kawaida. Wanasemaje huko.
 
Hiyo Radio inapatikananaje nami niweze kuisikiliza nisaidieni
 
Back
Top Bottom