Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Pfunk majani alikuwa mtu mwingine yaana mfano ile ngoma ya nipe tano unaweza sikiliza beat tuu hata bila kuimba uka enjoy
Man was genius
Man was genius
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua gharama ya kufungua bongo records au unaropoka tu?Pfunk yule mjinga hafai, ile ada ya milioni 40 kwa mwaka pale International schhool of Tanganyika ilibidi tu wamfungulie studio Marekani maana alikuwa level za kina dre kabisa...Tukumbushane maajabu ya P funk majani
1.Mtoto wa getikali
2.kama unataka demu
3.nitoke vp-bwana misosi
4.Nikusaidiaje: professor jay
5.Mikasi
6.Nipo bize:Jaffarai
Hadi sasa hivi huyu mjinga hakuna wa kumpambanisha nae,Respect kwa master J na Mikamwamba pia kwa kulifanya game Liwe na ushindani.
Sina hakika kama Mtoto wa Geti kali ni ya Majani. All in all Majani hana mpinzani, labda MJ tungempambanisha na Mika Mwamba, kwa Majani tunamuoneaPfunk yule mjinga hafai, ile ada ya milioni 40 kwa mwaka pale International schhool of Tanganyika ilibidi tu wamfungulie studio Marekani maana alikuwa level za kina dre kabisa...Tukumbushane maajabu ya P funk majani
1.Mtoto wa getikali
2.kama unataka demu
3.nitoke vp-bwana misosi
4.Nikusaidiaje: professor jay
5.Mikasi
6.Nipo bize:Jaffarai
Hadi sasa hivi huyu mjinga hakuna wa kumpambanisha nae,Respect kwa master J na Mikamwamba pia kwa kulifanya game Liwe na ushindani.
Mtoto wa geti kali ya MikaSina hakika kama Mtoto wa Geti kali ni ya Majani. All in all Majani hana mpinzani, labda MJ tungempambanisha na Mika Mwamba, kwa Majani tunamuonea
Sent using Jamii Forums mobile app
Rekebisha namba moja, mtoto wa geti producer ni Mika Mwamba.Pfunk yule mjinga hafai, ile ada ya milioni 40 kwa mwaka pale International schhool of Tanganyika ilibidi tu wamfungulie studio Marekani maana alikuwa level za kina dre kabisa...Tukumbushane maajabu ya P funk majani
1.Mtoto wa getikali
2.kama unataka demu
3.nitoke vp-bwana misosi
4.Nikusaidiaje: professor jay
5.Mikasi
6.Nipo bize:Jaffarai
Hadi sasa hivi huyu mjinga hakuna wa kumpambanisha nae,Respect kwa master J na Mikamwamba pia kwa kulifanya game Liwe na ushindani.
Bro usiseme hawa watu wawili.. Pa1 na kina bizman and like... Wanahitaji heshima kubwa kuliko tunavyowashindanisha hapa.Bongo record ilikuwa noma sana, salama jabir anasema alikuwa anapitia ngoma zaidi ya 20 za kupiga kwenye kipindi chake cha planet bongo kila jumamosi asubuhi na zote zinaingia top 10 next week.
P-funk genius level talent yake ilikuwa ni kufanya Kazi na akina Dr Dre na snoopy dog na sio Juma kiroboto.
Master jay yule Mangi ni mbabaishaji tu.
Sent using Jamii Forums mobile app