Bongo Record Vs Mj-Record:Kati ya P-Funk Majani na Master Jay nani alitengeneza ngoma kali zaidi?

Nini mnataka mazee ile beat siyo, kwangu ndo beat kali kuliko zote kwa bongofleva

Majani kulinganishwa na Mj ni insanity (mtazamo tu)
 
Kuna watu walikuwa nyuma yao kwa P kulikuwa na Prof. Ludigo na kwa J kulikuwa na Marco Chali. Hawa jamaa ndio walikuwa nyuma ya kazi nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…