FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,486
- 1,874
Bongo we kuwa maarufu tu .........Ilishakosa mvuto muda tu
Sikuhizi hawapo kwaajili ya kujaji uwezo wa vijana kuimba na hatimaye kuibua vipaji vyao
BSS ya sasa ipo kwaajili ya kudhalilisha vijana kutokana na uwezo au muonekano wao
Aidha, BSS ya sasa inawaweka watu wasio na uwezo wa kujaji, yaani Majaji wa hovyo, sasa kama Mpishi Shilole naye ni Judge unategemea nini?
Bado ipo? kitambo sana Jk akiwa Raisi ndio nilikuwa naifuatiliaHabarini za Muda Huu
Nimeona Tangazo la Kutafuta Hawa Bongo Star Search Nikabaki Nashangaa wanatafuta Comedian au Nini?
Yaani Watu wanaoonyeshwa Kwenye Tangazo ni Wachekeshaji na Watu wanashindwa Kuimba Na Waliovaa Hovyo Hovyo Tu
Sasa Badala ya Kuwaonyesha Watu wanaoimba Vizuri ili Tuone dhumuni Kubwa Lao ni Kutafuta Watu kama Hao Wao Wanaishia Kutuonyesha Upuuzi wa Washiriki..
Jitafakarini Sana Mvuto wenu wa Mwanzo Umeisha Mbele ya Macho ya Watanzania, Mtu akisikia Hata BSS anabadili Channel tu Maana Hakuna La Maana..
Hii ndio point hasaWamegundua wabongo mnapenda vitu vya kijingajinga na huko ndiko kwenye maokoto