Dogo yuko njema, sema kwa kuwa wana mtu wao walomwandaa ndiyo maana ukionekana una kitu special tuu wanakutanga na kukuzingazinga kwa mbele ili upoteze confidence.Halafu hawa wasng wadwanzi sana, muziki hawaujui wao wanataka jamaa atoe sauti ya autotune ndio wakubali
Huyo ommydimpoz mbona nyimbo zao wakiwa wana perfom jukwaani kwa mic wanakuwa na sauti mbovu na tunawavumilia?
MsechuTangu Bongo Star Search umeanza imemuibua star gani? Harmonize? Au Nani? Wajitathmini.
Wale hawana impact yeyote kwenye tasnia ya muziki ni ubabaishaji tu
Siwajui maana sio ma star, au hujui maana ya Bongo Star?Msechu
Kayumba nk
Umewaleta wewe?
Kala jeremiah humjui...? Kama humjui hama chama cha CCM🤣🤣Siwajui maana sio ma star, au hujui maana ya Bongo Star?
Kijana ana kipaji na yupo vizuri sana, shida ya vitu kama hivi wao ndo top and last say ingekuwa vizuri baraza la sanaa wakiwapa vibali vya kuendesha haya mashindano wafuatilie kwa ukaribu uendeshaji wao vinginevyo wanapotezea sana vijana muda.Binafsi sijaona alipokosea huyu dogo mpaka nyie mnaojiita majaji mumcheke na kumkejeli kiasi hiki.
Kwanza dogo hajapewa pace ya kuweza kufanya alichokusudia, yani ile ametoa sauti tuu majaji wote wakacheka kwa vicheko vikubwa na kejeli mpaka wakampotezea confidence dogo.
Hili limekuwa sio shindano bali ni sehemu ya kuwapotezea muda tuu vijana maana sidhani kama wako makini kupata vipaji sababu hawana concentration kabisa.
Jamani Muziki siyo mzikiTangia lini mtu kama omary nyembo akawa judge? hayo mashindano ni proven failure ndio maana hakuna mshindi ambae amewahi kutoboa kwenye mziki.
J4, Walter Chilambo na wengine wengi ambao walifanya vizuri ila walikosa management wakapwayaTangu Bongo Star Search umeanza imemuibua star gani? Harmonize? Au Nani? Wajitathmini.
Wale hawana impact yeyote kwenye tasnia ya muziki ni ubabaishaji tu