Ila majaji wako makini Sana nawakubari Sana, watu wengi waliokuwa wanashiriki bss hawakujua majaji wanataka mtu waina gani na ndiyo maana watu wakawa wakienda kushiriki pale walikuwa wanakopi kuanzia sauti ya msanii husika kitendo ambacho majaji hawakitaki
Wao wanataka uimbe kwa sauti yako hata kama utakopi wimbo wa msanii mwingine ila imba kwa sauti yako mf bss ya mwaka 2012 Kuna jamaa alikua anaitwa Wababa alikuwa anakopi wimbo Hadi sauti ya msanii husika sawa nikipaji sasa hatuwezi kuwa na jozee kamilioni wawili au Diamond wawili tunataka tuone wewe utaimbaje wimbo w mbagara kwa sauti yako tunataka tupate flaver ya sauti nyingine mpya na siyo ile tuliyoizoe
Kwahiyo hicho ndicho wanachozingatia bss