Amesema alilipwa million moja tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mengi ndo aalikua sponsa enzi hizo alivyomtema madam akafulia mazima!
Serikali katika msimu ujao inabidi itoe order kwa BSS kuwa zawadi ya mshindi iwe chini yake ili mshindi ataposhinda kuwe na uhakika wa kukabidhiwa pesa zake mkononi kupitia serikali.
Ila Kala hakuwa mshindi,kama sikosei aliishia nafasi ya pili au tatu
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Hapo ndio ajue si kila mtu anataka hela zilizoandikwa kwenye makaratasi kama geresha kwa watu ili wajue kweli yanafanyika.
Madam ajipinde tu atowe mana hapo disco lishaingia mmasai.
Kwani ney wa mitego alisemajeHuyu mama inaonekana amezoea wizi, kumbe Ney wa Mitego alikuwa sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye mkataba kuna kipengele cha kumzuia mshindi kuzungumza na media yoyote kwa kipindi cha mwaka mzima baada ya kushinda... Kuna mtu aliwahi niambia hili
Kama watamlipa itafungua milango ya wengine ambao walikuwa washindi lakini hawajamalizia hela zao kudai wamaliziwe hela yao.Yatajulikana mengi mwaka huu,wamlipe tu hela zake kabla mabomu hayajalipuka.
Yeah inawezekana, basi bora afute hilo shindano kama hawezi kulipa washindi.Mengi ndo aalikua sponsa enzi hizo alivyomtema madam akafulia mazima!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hawakupewa nadhani sasa hii ni nafasi yao kudai.Kiukweli ni aibu sana,Safi sana wizara na pia wawafuatilie na wale washindi wa nyuma kama walipewa zawadi zao
Ney wa mitego alisema nini?Huyu mama inaonekana amezoea wizi, kumbe Ney wa Mitego alikuwa sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]Sasa atalipaje na Mengi alishafariki!?
Serikali ingejionheza tu kuwa hawa wanawake wanaojifanyaga wamefanikiwa huwa kuna wanaume wanaosimamia mafanikio yao!!
Mie huwa nashangaa sana hata wale wanaojiita
Malikia wa nguvu kumbe nguvu nyingi huwa ziko viunoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio nusu anapewa 20m Kati ya 50m, eti 30m ya kutoa nyimbo na kufanya matangazo yake.Wange wapa tu iyo 50ml mtu ajue anacho ende kuifanyia sio kupangiana nusu nusu
Sent from my SM-A105G using Tapatalk