Bongo Star Search Wapewa mwezi mmoja kumlipa mshindi wa BSS 2019

Bongo Star Search Wapewa mwezi mmoja kumlipa mshindi wa BSS 2019

Kuna mwanamuziki mmoja aliwahi kuwa mule kama sehem ya Majaji, msimu mmoja tu akasepa.. nilipokuja kumuuliza akasema kwa mtu wa kaliba yake, pale hapamfai, mambo aliyoyaona yanalazimishwa mule hakuwa na moyo wa kuendelea tena kwa msimu mwingine..
 
Huu ni uhuni kama vipi serikali ihakikishe dogo anapewe hela yake,ikishindikana BSS ifutwe.

Ila Madam Rita kampuni yake ya Benchmark nayo inatembelea rim,lile deni lake na TRA sijui wameshamalizana.
Yah inabidi kampuni ya benchmark ijitathimini kwa hili lakini Hilo lisiondoe uzuri wao wakuwapa vijana platform yakuonekana.
 
Naibu Waziri Mhe.Juliana Shonza ametoa mwezi mmoja kwa uongozi wa Kampuni ya Benchmark Production inayoendesha mashindano ya kusaka vipaji kwa wasanii wa muziki maarufu kama Bongo Star Search (BSS) kuhakikisha wamemlipa mshindi wa kwanza wa mwaka 2019 zawadi yake ya milion 50. View attachment 1412584
Wamlipe tu... maana hawajui magumu tunayokutana nayo sisi underground, Nasema ivyo sabab namjua huyu mshindi anayedai hizo ml 50 anaitwa mesha maizing cobra, kaa sikosei na anatokea mbeya niliwahi kushiriki naye kambi ya mashindano kama hayo, ilikuwa supa nyota yanayo andaliwa na clouds Fm, na tuliongea mengi kuhusu hii game
 
Back
Top Bottom