Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,621
- 4,322
Hawajawahi kumpa mshindi hela kamili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajawahi kumpa mshindi hela kamili
Kwa kuwa wanajua muda utakuwa ushaenda tangu uwe mshindi basi si rahisi ukaaminika ikitokea umevujisha siri ya kambi.Lengo lao ni nini?![emoji23][emoji16][emoji16][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa wa 5 au wa 4Ila Kala hakuwa mshindi,kama sikosei aliishia nafasi ya pili au tatu
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Hivi kumbe ulikua ndio mchezo wao,walikua wanajua yataisha kimya kimya...Inabidi mana kama alizowea kuwahadaa vijana kwa vipesa mbuzi akijua akitoka hapo inabaki siri safari hii wamebugi.
Na usawa huu Milioni 50 si pesa ya kitoto. Au ndio anazo?
No wonder baada ya ushindi, ni wachache sana wanaomaintain kwenye game.Hawajawahi kumpa mshindi hela kamili
Kumbe ndo kamchezo kao kudhulumu washindiHapo ndio ajue si kila mtu anataka hela zilizoandikwa kwenye makaratasi kama geresha kwa watu ili wajue kweli yanafanyika.
Madam ajipinde tu atowe mana hapo disco lishaingia mmasai.
Yah inabidi kampuni ya benchmark ijitathimini kwa hili lakini Hilo lisiondoe uzuri wao wakuwapa vijana platform yakuonekana.Huu ni uhuni kama vipi serikali ihakikishe dogo anapewe hela yake,ikishindikana BSS ifutwe.
Ila Madam Rita kampuni yake ya Benchmark nayo inatembelea rim,lile deni lake na TRA sijui wameshamalizana.
Huwa inasemekana hivyo Bro. Sasa safari hii wameingia cha kike hapo hawana budi kuzisaka watowe kiwango chote.Hivi kumbe ulikua ndio mchezo wao,walikua wanajua yataisha kimya kimya...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamlipe tu... maana hawajui magumu tunayokutana nayo sisi underground, Nasema ivyo sabab namjua huyu mshindi anayedai hizo ml 50 anaitwa mesha maizing cobra, kaa sikosei na anatokea mbeya niliwahi kushiriki naye kambi ya mashindano kama hayo, ilikuwa supa nyota yanayo andaliwa na clouds Fm, na tuliongea mengi kuhusu hii gameNaibu Waziri Mhe.Juliana Shonza ametoa mwezi mmoja kwa uongozi wa Kampuni ya Benchmark Production inayoendesha mashindano ya kusaka vipaji kwa wasanii wa muziki maarufu kama Bongo Star Search (BSS) kuhakikisha wamemlipa mshindi wa kwanza wa mwaka 2019 zawadi yake ya milion 50. View attachment 1412584
Pengo la mengiDuuh!! Ndio kwamba hailipi hiyo bongo star search au?
Kama hajalipwa hata 100 ni sawa kabisa kulalamika.