Bongo Tu Ndio Taulo Linakua Nongwa

nilimsikia Othman Kazi kupitia SPORTS BAR AKISEMA NYAVU SI SHEMEU YA UWANJA na mpira unaweza kuchezwa bila net, hivyo si kosa kuweka taulo nyavuni isipokuwa kama lina maandishi
 
Umeona tatizo tumesha kuwa na dhana ya uchawi basi wanadhani kuna kauchawi, lakini hatakama jamaa alilazimaisha kuliweka pembeni kichapo kikawa palepale, NIBORA SIMBA TUFUNGWE NA STAND NA SI YANGA
 
marefa watakua Yanga basi
 
kama tanzania ni nchi ya pili barani afrika kwa ushirikina na ulozi ikiongozwa na nchi ya ghana je wewe unategemea nini mkuu ktk hilo?
nilifikiri ilikaa kisheria kumbe kiulozi, hata wagombea ni walozi wakiwemo.....wa uraisi
 
nilimsikia Othman Kazi kupitia SPORTS BAR AKISEMA NYAVU SI SHEMEU YA UWANJA na mpira unaweza kuchezwa bila net, hivyo si kosa kuweka taulo nyavuni isipokuwa kama lina maandishi

Tz tunafanya mambo kwa dhanadhana, ukishakuwa na fikra potofu kila litakalo tokea unalipeleka kulele mpaka elim kama hii itolewe japo pia ngum kuelewa maana wengi wapo kilajambo ni NO kisa limetoka upande wapili
 
marefa watakua Yanga basi

Aa wapi nidhana iliyo kaa vichwani mwao, mbona mechi hiyo wapo wanayanga walilalamika kuwa refa aliwabeba simba? au inawezakuwa tatizo kutofuatilia makosa kisheria uwanjani nahivi sheria zenyewe zinaandikwa kwa kiingereza bas
 
yanga hawakosi visingizio sasa hivi wako FIFA suala la Ajib
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…