Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilimsikia Othman Kazi kupitia SPORTS BAR AKISEMA NYAVU SI SHEMEU YA UWANJA na mpira unaweza kuchezwa bila net, hivyo si kosa kuweka taulo nyavuni isipokuwa kama lina maandishi
kama tanzania ni nchi ya pili barani afrika kwa ushirikina na ulozi ikiongozwa na nchi ya ghana je wewe unategemea nini mkuu ktk hilo?
marefa watakua Yanga basi
yanga hawakosi visingizio sasa hivi wako FIFA suala la AjibAa wapi nidhana iliyo kaa vichwani mwao, mbona mechi hiyo wapo wanayanga walilalamika kuwa refa aliwabeba simba? au inawezakuwa tatizo kutofuatilia makosa kisheria uwanjani nahivi sheria zenyewe zinaandikwa kwa kiingereza bas
Wewe kwa takwimu ipi mkuu
Wangeshinda wangeenda FIFAyanga hawakosi visingizio sasa hivi wako FIFA suala la Ajib