Bongo usanii mwingi

Ukute alipaka hata tomato ili akuzingue tu, ndo maana soko lao linazidi kushuka.

Ila na wewe ulijituma, yote hayo kwa siku moja pekee?
 
Khaaa umepigwa na kitu kizito kichwaniii

Wenzio wanaweka hadi tomato sauce kwa ped, ama juice ya rozela / ama kimiminika cha mirindaa /....

pole hayo yote ni maisha ipo siku utaelewa
 
Kemea pepo la ngono🤓🤓🙌
 
Hapo wewe ndio ulikua mswahili.Usingejifanya unataka outing..ungemwambia kabisa kwenye yote ratiba ya siku hiyo itahusisha ni kuchovya chovya.Sasa wewe hukusema unafikir nan wa kulaumiwa hapo
 
Hapo wewe ndio ulikua mswahili.Usingejifanya unataka outing..ungemwambia kabisa kwenye yote ratiba ya siku hiyo itahusisha ni kuchovya chovya.Sasa wewe hukusema unafikir nan wa kulaumiwa hapo
Mkuu tulipanga wiki nzima, na hata hiyo siku alisema yuko Poa kabisa, ndio maana tukaanza na dinner then mida tutukachakate. Tatizo alikubali alijua ananitapeli😂
 
Wewe si ndio rose ulie tula hela zetu humu wanaume wenzio?
[emoji23][emoji23][emoji23] Dah! Watu walidanganyika kwa picha tu. Yule bidada niliyemuajiri alijua kucheza na kipa, mpaka raha!

Watu walipasuka miamala asikwambie mtu
Tuogope sana majina ya kike. Kwa hali hii, hata mimi the storyteller ilifikia mahala nikawa namuogopa roselyn2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…