Bongo vipi huko hapa Sydney ni saa tisa na dakika 11 najua hapo ndio mnakurupuka

Bongo vipi huko hapa Sydney ni saa tisa na dakika 11 najua hapo ndio mnakurupuka

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Sydney hii mchana huu. Pole ndugu zangu huko magu land nasikia jana mmepitiwa na katetemeko
 
Ahsante
Sisi jana tumeyamaliza..nahisi hapa ni watu wa mambele kuna jambo mnajadiliana.

napitia kusoma comment!
 
Vijana wa siku hizi mkivuka border mna mbwembwe!
 
Mwana unapiga mishe gani huko Mambele?
 
Back
Top Bottom