Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Ukishakula mavitumbua ya CCM unakua mjinga..Hata ukiyatia kidole yanachekacheka tuView attachment 3579790
Jaji Chande na Tume yake imegeuka kuwa toilet paper ya utawala.
Common sense must prevail.
Wewe unajuwa habari hizi za uongo wewe umelipwa ngapi?Jaji Chande amedhalilisha heshima ya ujaji. Alichofanya Chande na genge lake ni kusafisha wauaji na kutuhumu wahanga kwa uongo..
View: https://youtu.be/aVN8mZ-Lri8?si=J3pVPOKmP1GcdJGJ
Una akili ya kula tu na mawazo ya vinyeo.Ukishakula mavitumbua ya CCM unakua mjinga..Hata ukiyatia kidole yanachekacheka tu
Mtu mjinga utamjua tu, mpumbavu ni suala jingine.Bongo zozo ni mshamba tu , tena mkimbizi ;akafie mbele huko
Polisi watuhumiwa.Simple and clear Na Jinai huchunguzwa na Police au vyombo vingine au Mashirika ya upelezi mengine kama FBI, FSB, Scotland Yard n.k
Mohamed Kibao mtu wa Tanga mwenzio. Wewe tetea tu watu wanao mtendea unyama nduguyo. Ipo siku utajutia uhamuzi wako.Bongo zozo ni mshamba tu , tena mkimbizi ;akafie mbele huko
Tena ni takataka.Viongozi wengi kama sio wote hawana uwezo.Kwenye kundi la vipofu hata mwenye chongo huonekana bora.Tz viongozi wote matapeli tu, waoga, hawana uzalendo.Ni vile wamejikuta wapo hapo tu.Hakuna kiongozi yoyote anayevutia pale juu....labda Nchimbi ndo kuna muda kama zinarudi then zinataka.Tuna bahati mbaya sana. Msikilize mtu kama Kabudi, njoo kwa Nyarandu mambo wanayoongea, wazee wa nchi hii ni matapeli watupu, bure kabisaKufikia levels za jaji alafu ukawa mdanganyifu kama Othman Chande ni bora uwe mfu!
Siyo mara ya kwanza polisi kujichunguza Abdalah Zombe alikuaga nani? Kalanje wa Mauaji ya Mfanyabiashara wa madini mbona kafungwa !Polisi watuhumiwa.
Mtuhumiwa anajichunguza Kama akijikuta na kosa anaweza kujishitaki?
Mkuu unatumia mantiki (logic) gani kabla ya kujenga hoja?
Kwa hivyo Kamanda Bageni aliuwa peke yake na alijipa amri yeye mwenyewe?Siyo mara ya kwanza polisi kujichunguza Abdalah Zombe alikuaga nani? Kalanje wa Mauaji ya Mfanyabiashara wa madini mbona kafungwa !
AG, DPP na DCI wote wanaweza kuchunguza!Kwa hivyo Kwamanda Bageni aliuwa peke yake na alijipa amri yeye mwenyewe?
Ile kesi kichekesho na aibu kwa wapelelezi (wachunguzi). Majaji waliotoa hukumu hawana kosa walifanya uamuzi(hukumu) kutokana na kilicho wasilishwa na wapelelezi.
Upelelezi wa hovyo, wa mchongo.
Wapelelezi ni polisi walio wachunguza polisi wenzao.
Sasa wale Askari waliotuhumiwa ni wa ngazi za kati na chini.
Askari polisi gani atamchunguza IGP au CDF?
Nani atamchunguza aliyempa IGP amri au kazi ya kutangaza Ile curfew ya October 29, 2025?
IGP ndiye aliyetoa tangazo la amri ya kutoka nje baada ya saa 12 jioni.
Na baada ya amri hiyo ndipo mauaji yalianza kuongezeka kwa kasi.
Mambo mengine mnataka kutuletea matatizo tu tukihoji, mtuteke na kutupoteza.
Bora mnyamaze labda tutasahau.
Chande atakamatwaView attachment 3579790
Jaji Chande na Tume yake imegeuka kuwa toilet paper ya utawala.
Common sense must prevail.
Huyo kasaliti chama kwa kujiunga na CHADEMA , msaliti huyo hatutaki chama vha hovyo huku ..Mohamed Kibao mtu wa Tanga mwenzio. Wewe tetea tu watu wanao mtendea unyama nduguyo. Ipo siku utajutia uhamuzi wako.
Huenda walipewa maelekezo...Maoni ya Bongozozo yanaonyesha udhaifu mkubwa Jaji Chande na Tume yake.
Kwa makusudi wamekwepa mambo muhimu.
Sio lazima uonyeshe jinsi ulivyo fala, sometimes pita tuuChande alikuwa wazi kabisa.
Alishasema kuwa ripoti hii ni Fact finding ,
Kama kuna jinai kuna mamlaka ya kudeal nazo.
Mamlaka ipi untaka kuzungumzia? Kuna tofauti gani kati ya Polisi na Waalifu Tanzania?Nikiwa mdogo katika mazingira hayahaya ya utumishi wa kiserikali Kambarage alilifumua jeshi la Polisi na usalama wa taifa kwa kukosa imani ya wananchi.Chande alikuwa wazi kabisa.
Alishasema kuwa ripoti hii ni Fact finding ,
Kama kuna jinai kuna mamlaka ya kudeal nazo.
Ila wezi wa mabilioni wanaotajwa na CAG aaaaah hawaguswi nb:mwizi ni mwizi tu iwe hao vibaka wadogo au hao wa mabilion mnaosema watajwe waone aibu.Aliua wezi 270 amelisaidia taifa
Huo ndio uhalisia labda uje na ya kwako.Sio lazima uonyeshe jinsi ulivyo fala, sometimes pita tuu