Bongofleva miaka hiyo

Nyambizi wa dully Sykes ulibamba vibaya mno. Pamoja na hiyo Ila zamani bongofleva ilikua ya Moto sana
 
Wakuu nashauri tuwe tunaweka na ngoma za kitambo Kama mtu akiomba, mwenye nayo anatupia Mambo yanaenda
 
profesa J - Nikusaidije, Zali la mentali

Bwana misosi - Nitoke vipi

Daz Mwalimu - Umbo namba nane

D.Nob- Elimu mtaani

Bushoke - Mume bwege

naendelea kukumbuka....
 
Mad ice_
Ngwair
Daz baba_wife
Soggy doggie
Mr.paul
Solo thang
Juma nature
INSP.haruna
K basil
K liny
Solid ground family
Suma G
Suma Lee
Kali p
Q chief
Hot pot family
Mabaga fresh
University corner
O_ten
Gk
Unique sisters
Dataz
Squeezer
Prof j
Picco
Enika
Ray c
Blue
Dudu baya
Mr nice
Pingu na deso
Jay mo
Jaffarai
Ferooz

Kwenye kila jina Kuna hit songs Zaid ya 3😊
 
profesa J - bongo dar es salaam

GK - nitakufaje

Daznundaz - kamanda

Ferooz- starehe

Juma nature - mzee wa busara

Mike T - wananiita mnyalu

Dudu baya - Nakupenda tu

At - Yule

T.I.D - Zeze

Gangwe Mob - tunataabika

Wagosi wa Kaya- wauguzi daktari na manesi

Naendelea kukumbuka.....
 
Macmuga- Ali kiba
Marlaw- piiipii( missing my baby)
Nyimbo zote za pro.jay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…