Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,305
Habari wadau wa Jukwaa la lugha,
Kuna neno nimekuwa nikilisikia kwenye baadhi ya mistari ya nyimbo za bongo fleva,Neno lenyewe ni "Sitoi boko".
Nimejaribu kuunganisha nucta kutokana na Jina la mchezaji "John Boko" na kurelate na mistari ya hizo nyimbo nimetoka kapa.
Baadhi ya Mistari iliyotumia ilo neno:-
Country Boy: Niko na wewe
"Tuzae watoto waniite daddy/
Sitoi boko mechi zote mi ni shuti ndani"
Mwana FA :Sielewi
" Bonge la mtoto/bonge la zigo/Naamini sioti coz naipenda hii ndoto/Sitoi boko/na naamini hayuko soko"
Joh Makini: Nusu Nusu
"Brand kubwa sio kitoto /Na shoo ni cash sio mikopo /Najenga nchi sitoi boko."
Ruby: Are you ready?
"Sina penzi local,Sitoagi Boko,Mambo yangu Moto"
Je hilo neno linamaana gani?