Bongozozo anaweza kusababisha mgogoro wa kidiplomasia

Bongozozo anaweza kusababisha mgogoro wa kidiplomasia

Jerlamarel

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2021
Posts
843
Reaction score
2,525
Declaration: Say No to Racism.

Kwanza niseme tuu huyu jamaa namkubali 101% katika kile anachokifanya. Ni jamaa anayejua kuleta amsha amsha hasa kwa timu ya taifa, lkn sijawahi kumsikia akiwa anashabikia mambo ya u-team ama ligi ya ndani(vpl kwa wakati huo, sasa npl).

Kinacholeta utata ni kwamba huyu mwamba sio MTANZANIA, na hizi tuzo zilikuwa zinawahusu watanzania tuu, sababu ligi ni ya ndani.

TFF wanapaswa kurevoke tuzo yake ASAP la sivyo mpasuko utakaofuata utawatafuna mpaka mwisho.
 
Yani huyu Bongozozo ndio aibue mgogoro wa kidiplomasia. Diplomasia ya nani na nani, Simba na Yanga au vipi.

Najua ni kosa kumtaja kwenye ligi ila apewe yeye ndio ameinua mpira kwa gharama zake, akili zake na bila kulalia upande. Angejihusisha na ligi sasa hivi angeitwa Simba au Yanga
 
Tulia ww tuzo zinawahusu watanzania tu wapi palipoandikwa acha kuweweseka mkubwaa akina Clatous Chama ni watz? Prince dube ni mtz?? Je kocha Didier Gomez ni mtanzania?

Halafu sikia ni msimu mzima kwa ligi na soka kwa ujumla bro ww na manara wako kaeni chini mjue mmefeli wapi mwache Bongozozo wetu acha chuki za ajabuajabu bwana.

Bongozozo amewalaza yoo🤣🤣🤣🤣
 
😂😂

Tafuta hela ndugu yangu ili uweze kuandika vitu vinavyoeleweka...
 
Rais wa TFF Wallace Karia ni Msomali, nchi ngumu hii mambo mengine kausha tu.

Tumeambiwa John Boko naye ndio mchezaji bora akiwapiku Chama na Luis konde boy.

Mambo ya TFF waachie wenyewe huyawezi.
 
Declaration: Say No to Racism.

Kwanza niseme tuu huyu jamaa namkubali 101% katika kile anachokifanya. Ni jamaa anayejua kuleta amsha amsha hasa kwa timu ya taifa, lkn sijawahi kumsikia akiwa anashabikia mambo ya u-team ama ligi ya ndani(vpl kwa wakati huo, sasa npl).

Kinacholeta utata ni kwamba huyu mwamba sio MTANZANIA, na hizi tuzo zilikuwa zinawahusu watanzania tuu, sababu ligi ni ya ndani.

TFF wanapaswa kurevoke tuzo yake ASAP la sivyo mpasuko utakaofuata utawatafuna mpaka mwisho.
Kuna sehemu wamesema mshindi wa Tizo lazima awe raia wa Tanzania?
 
Back
Top Bottom