GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Acheni Unafiki na Upuuzi wenu unatokana na Wivu tu wa Mafanikio na Umaarufu mkubwa na wa ghafla alionao Bongo Zozo. Hana tatizo lolote lile na hawezi pia Kasababisha tatizo lolote la Kidiplomasia tena kwa Taarifa yako ( yenu ) huyu ( Yeye sasa ) ndiyo anaitangaza vyema Tanzania yetu kuliko hata Sisi Wanafiki wazawa wa Kitanzania na Upopoma wetu Uliotutukuka.Declaration: Say No to Racism.
Kwanza niseme tuu huyu jamaa namkubali 101% katika kile anachokifanya. Ni jamaa anayejua kuleta amsha amsha hasa kwa timu ya taifa, lkn sijawahi kumsikia akiwa anashabikia mambo ya u-team ama ligi ya ndani(vpl kwa wakati huo, sasa npl).
Kinacholeta utata ni kwamba huyu mwamba sio MTANZANIA, na hizi tuzo zilikuwa zinawahusu watanzania tuu, sababu ligi ni ya ndani.
TFF wanapaswa kurevoke tuzo yake ASAP la sivyo mpasuko utakaofuata utawatafuna mpaka mwisho.