Bongozozo anaweza kusababisha mgogoro wa kidiplomasia

Acheni Unafiki na Upuuzi wenu unatokana na Wivu tu wa Mafanikio na Umaarufu mkubwa na wa ghafla alionao Bongo Zozo. Hana tatizo lolote lile na hawezi pia Kasababisha tatizo lolote la Kidiplomasia tena kwa Taarifa yako ( yenu ) huyu ( Yeye sasa ) ndiyo anaitangaza vyema Tanzania yetu kuliko hata Sisi Wanafiki wazawa wa Kitanzania na Upopoma wetu Uliotutukuka.
 
Manara kukosa tuzo kumefanya uzunguke kila mahali kutoa povu.

Acha ujinga wako
 
Bongo zozo apewe tuzo kila mwaka amejotoa sana huyu mwamba hakika ni fujo isiyo umiza
 
Mjuu hizo tuzo sio za vodacom premiere lague ni za Tanzania Football Association, yani zinahusu ligi zote zilizo chini ya TFF mfano ligi ya wanawake, ligi daraja la kwanza nk
 
Hivi watanzania kama mtoa mada hii roho mbaya tumeitoa wapi? Yawezekana nchi yetu inapata laana kupitia aina ya watu kama wewe.
Bongo zozo anastahili kupata zaidi alichopata hata akigombea urais kwangu mimi ningempa kura. Ukitaka kuujua uzalendo ulivyo jifunze kwa bongozozo. Big up Tff
 
Chama ni mtanzania, Kocha wa Simba na Yanga ni watanzania.

Uwezo wako wa kufikiri ni kama kuku
 
Chama ni Mtanzania?

Tff wamefanya sahihi sana kumpatia
 
Kwa hiyo Didie Gomez naye ni mtanzania??
 
PRINCE DUBE
MOKOKO TONOMBE
DIDIER GOMEZ
CLATOUS CHAMA
LOUIS MIQSON
nk ......

Wote hao cyo watz ......

Anyway [emoji654][emoji654]BADILIKA BRO , CHUKI HAZIJENGI
 
Hizi akili sijui tunazitoaga wapi,,,Yani nahisi hizi ni akili za lumumba maana hawanaga la maana wanalowaza zaidi ya kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu...pale ufipani wako bize na katiba mpya,
 
Mkuu aliyekuambia hizo tuzo ni kwaajili ya watanzania tu nani? ina maana hujaona raia wa kigeni wengine waliotwaa hizo tuzo mbali na Bongo zozo au wewe ndio Manara mwenyewe?
Labda jamaa anafikiri kina Chama na pia ni wabongo
 
"mwamba sio MTANZANIA, na hizi tuzo zilikuwa zinawahusu watanzania tuu" hapa kidogo umechanganya madesa home boy.I mean you need to clarify this.Maana Gomez,Chama sina uhakika kama ni Watanzania au kwenye futbol mambo ya uraia wa mtu yana tafsir nyingine?
 
Ni afadhali sana hii tuzo amepewa Bongo zozo.


Maana angepewa Haji ndio ingeleta shida kwa kuwa takwimu za Uingiaji mashabiki viwanjani vinamtambua NUGAZ ndio mhamasishaji bora.

Haji alishakiri hadharani kuwa alikuwa anaongea takwimu za uongo - Hivyo hana sifa ya kupewa tuzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…