Bongozozo atoa funzo la Kiswahili, kitu gani kamzidi Maulid Kitenge?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Huyu ndiye Bongozozo, anajiita Mtanzania shabiki namba moja wa Taifa Stars na mbuga ya Serengeti, vunja mbavu.
Your browser is not able to display this video.
 
We itakuwa umetumwa na Stella Abijan. Bolizozo sio mtu mzuri waulize HONGA HONGA FC.
Alituchapa Taifa kama tumesimama. By the way kuna mchezaji wa Yanga akaja kutumia aka ya huyu, aliitwa JAMES TUNGARAZA, Mungu amlaze mahali pema peponi, ameen.
 
Mkuu tunamzunguzia bongozozo yule mzungu flani...
Alituchapa Taifa kama tumesimama. By the way kuna mchezaji wa Yanga akaja kutumia aka ya huyu, aliitwa JAMES TUNGARAZA, Mungu amlaze mahali pema peponi, ameen.
 
Alituchapa Taifa kama tumesimama. By the way kuna mchezaji wa Yanga akaja kutumia aka ya huyu, aliitwa JAMES TUNGARAZA, Mungu amlaze mahali pema peponi, ameen.
Anayezungumziwa ni Bolizozo yule kiboko ya mikia au Bongozozo 'fujo isiyoumiza' shabiki mkubwa Taifa stars?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayezungumziwa ni Bolizozo yule kiboko ya mikia au Bongozozo 'fujo isiyoumiza' shabiki mkubwa Taifa stars?
Bongozozo a.k.a balozi wa utalii.
 
Uzungu wake na kua official balozi wa Tanzania

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…