Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alituchapa Taifa kama tumesimama. By the way kuna mchezaji wa Yanga akaja kutumia aka ya huyu, aliitwa JAMES TUNGARAZA, Mungu amlaze mahali pema peponi, ameen.We itakuwa umetumwa na Stella Abijan. Bolizozo sio mtu mzuri waulize HONGA HONGA FC.
Anayezungumziwa ni Bolizozo yule kiboko ya mikia au Bongozozo 'fujo isiyoumiza' shabiki mkubwa Taifa stars?Alituchapa Taifa kama tumesimama. By the way kuna mchezaji wa Yanga akaja kutumia aka ya huyu, aliitwa JAMES TUNGARAZA, Mungu amlaze mahali pema peponi, ameen.