Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kimsingi ni kweli! kesi ya Lissu ni ya kisiasa na imekaa kimchongo sana
Tunapotezeana muda kwa mambo ya kijinga tu, na ukitaka kujua inapoteza pesa na muda hata kwa Lissu angalia mashahidi wa hii kesi utajua tu ni mchongo mtupu.
===========
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani na Meya mstaafu wa Ubungo, Boniface Jacob leo Februari 17, 2026 nje ya Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar Es Salaam ameitaka serikali kuifutilia mbali kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kwa madai kwamba haina kichwa wala miguu na amekosoa vikali ushahidi unaotolewa na mashahidi wa upande wa Jamhuri Mahakamani.