Boni Yai: Dr Slaa ni Mtu Mwema sana tulipokuwa mahubusu mimi na Malisa alikuwa anatuletea Chai ya Maziwa na Chapati kila asubuhi kabla hata ya family!

Mabonge ukitaka wasikusahau wape favor ya misosi tu.

Hiyo miili haiji tu,ni lazima uwe mlafi.

Ni zamu yake kumpelekea mayai babu!
 
Nani kasema hivyo? Lissu?
Hamna , mi nimeuliza tu maana choice variable,chiembe , tlaatlaaa na lucas mwashambwa huwa wanaona rais na ccm wanaweza kuacha kufuata sheria hata kudhulumu haki za watu,kuua watu au kuiba kura na wasifanywe chochote.
 
Ninyi mnaowatoa watu magereza usiku na kwenda kuwapa ubunge wa vitu maalumu chadema ili kujustify wizi wenu wa kura kweli mnafuata sheria?!

Kwa HOJA hamtatuweza labda kwa Wasiojulikana na Mapolisi.
Ahay! Keyboard Warrior! Ahahahahaha!!
 
Alipata wapi hizo chapati na chai gerezani?!!!
 
Slaa Huwa anajifanya mbabe!
Club House, Kila mtu Yuko nyumbani kwake,yeye Yuko segerea🤣
 
Slaa Huwa anajifanya mbabe!
Club House, Kila mtu Yuko nyumbani kwake,yeye Yuko segerea🤣
Mkuu kama wewe ni muoga wa kupelekwa polisi hata gerezani basi wewe sio.
Ungejua wote waliopo jela hata sio wahalifu na wengi wanamakosa ya kusingiziwa usingekoment hivyo.
Slaa sio mara Ya kwanza kuwekwa lockups na mara zote anatoka hata Kwenye hii ishu slaa atatoka
 
Bonge atuache kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…