Boni Yai: Dr Slaa ni Mtu Mwema sana tulipokuwa mahubusu mimi na Malisa alikuwa anatuletea Chai ya Maziwa na Chapati kila asubuhi kabla hata ya family!

Ewe Mwenyezi Mungu naomba rais wetu afe kabla ya uchaguzi wa mwaka huu. Amin
 
Na yeye alipr fadhira sasa kwa kupeleka chai na chapati za mayai, zinafaa kwa wazee
 
ila pia ni msaliti, mbinafsi na mwenye tamaa sana huyo mzee
 
Sasa kwanini mnasubiri Jumatatu kwenda kumuwekea dhamana mahakamani? Si Lissu awaongoze mkakinukishe? Au ndiyo yaleyale ya keyboard warriors! Wajinga sana nyie!
Wajinga ni wale wawili walikaliana uchi wakakuleta duniani.
 
Chai ya maziwa ya babu ni tamu sana!

Hasta mimi ningelia sana!
 
Kumyima dhamana Dr. Slaa sio uungwana, ati kasambaza uongo mbona wao Ilani yao nzima ni sounding tu?!. "Maji kwa wote ifikapo mwaka 2000" sio uongo huo?!
Uongo mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…