Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na yeye alipr fadhira sasa kwa kupeleka chai na chapati za mayai, zinafaa kwa wazeeMeya wa zamani wa Ubungo ambaye ni Team Mbowe Uchaguzini amevunja ukimya na kumsifia Dr Slaa
Boniface Jacob aka Boni Yai amesema Dr Slaa ni Mtu MWEMA sana
Kwa Siku tulipokuwa mahabusu ya Mbweni Mimi na Malisa Dr Slaa alituletea Chai ya maziwa na chapati Kila Siku asubuhi kabla hata familia zetu hazijafika
Boni Yai Amelia sana kwa Dr Slaa kuwekwa mahabusu
Ni huko Ukurasani X
Ahsanteni Sana 🐼
Lisu ni porojo tuMwambieni Lissu mkakinukish hapo kituoni! Tena mwambieni itamuongezea sifa sana kwenye uchaguzi kwamba hana kurembaremba! Ahahahahaha!!!
ila pia ni msaliti, mbinafsi na mwenye tamaa sana huyo mzeeMeya wa zamani wa Ubungo ambaye ni Team Mbowe Uchaguzini amevunja ukimya na kumsifia Dr Slaa
Boniface Jacob aka Boni Yai amesema Dr Slaa ni Mtu MWEMA sana
Kwa Siku tulipokuwa mahabusu ya Mbweni Mimi na Malisa Dr Slaa alituletea Chai ya maziwa na chapati Kila Siku asubuhi kabla hata familia zetu hazijafika
Boni Yai Amelia sana kwa Dr Slaa kuwekwa mahabusu
Ni huko Ukurasani X
Ahsanteni Sana 🐼

Umeonae?Lisu ni porojo tu
Wajinga ni wale wawili walikaliana uchi wakakuleta duniani.Sasa kwanini mnasubiri Jumatatu kwenda kumuwekea dhamana mahakamani? Si Lissu awaongoze mkakinukishe? Au ndiyo yaleyale ya keyboard warriors! Wajinga sana nyie!
Chai ya maziwa ya babu ni tamu sana!Meya wa zamani wa Ubungo ambaye ni Team Mbowe Uchaguzini amevunja ukimya na kumsifia Dr Slaa
Boniface Jacob aka Boni Yai amesema Dr Slaa ni Mtu MWEMA sana
Kwa Siku tulipokuwa mahabusu ya Mbweni Mimi na Malisa Dr Slaa alituletea Chai ya maziwa na chapati Kila Siku asubuhi kabla hata familia zetu hazijafika
Boni Yai Amelia sana kwa Dr Slaa kuwekwa mahabusu
Ni huko Ukurasani X
Ahsanteni Sana 🐼
Wewe wa kwako walipokuleta walikuwa wamevaa suti? Ahahahahaha!!!Wajinga ni wale wawili walikaliana uchi wakakuleta duniani.
Uongo mtupu.Kumyima dhamana Dr. Slaa sio uungwana, ati kasambaza uongo mbona wao Ilani yao nzima ni sounding tu?!. "Maji kwa wote ifikapo mwaka 2000" sio uongo huo?!