PreGE2025 Boni Yai: Kama Mbowe angetaka kukiua chama angekiua kwenye kipindi cha Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Akiwa anazungumza leo kwenye mkutano na waandishi wa habari, Boni Yai amesema kuwa kuhusu tetesi za Mbowe kutaka kuvunja chama ni za uongo kwani Mbowe angetaka kuiua CHADEMA angeiua kwenye kipindi cha Uchaguzi

"Kama Mbowe angetutaka kwenye Uchaguzi ule chama kinakufa, kipindi cha Uchaguzi angenipa mimi maagizo hayo kingekufa kipindi kile kile"

  • Thanks
Reactions: rr4
Ukome kabisa Zito Kabwe ulishangilia sana kufa cha Magufuli hadi ukasema anayempenda Magufuli akazikwe nae, kumbe hukujua kuwa mbaya wako Seth ametulizwa na Magufuli. 😄.
Ipo siku mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya ~~~ Magufuli
 
Huyu ndio wanasema alitia mfukoni million 400 za Mbowe ambazo hazikufika kwa wajumbe?
 
Wakuu,

Akiwa anazungumza leo kwenye mkutano na waandishi wa habari, Boni Yai amesema kuwa kuhusu tetesi za Mbowe kutaka kuvunja chama ni za uongo kwani Mbowe angetaka kuiua CHADEMA angeiua kwenye kipindi cha Uchaguzi

"Kama Mbowe angetutaka kwenye Uchaguzi ule chama kinakufa, kipindi cha Uchaguzi angenipa mimi maagizo hayo kingekufa kipindi kile kile"

niwekee link ya press nzima ..,,
 
Back
Top Bottom