Mwacheni Mbowe apumzike, mmedhalilisha mno kwa ajili ya tamaa ya UWENYEKITI. Sasa UWENYEKITI mmepata ila kwa vile hamna kipawa cha uongozi ndiyo maana mmekwama.Wakuu,
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob maarufu kama "Boni Yai" akiwa Kwenye Mkutano wa hadhara wa Chama cha Chadema Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro ameeleza kuwa Chama chake kinatambua mchango mkubwa wa Aliyekuwa Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, akimuomba asikae mbali na Chama hicho kutokana na kuhitajika kwake.
Jacob amesisitiza wajibu wa kuendelea kumtumia Mbowe na Wastaafu wengine wa Chama hicho katika ushauri, usuluhishi wa migogoro ndani ya Chama, akisema Wanachama na wapenzi wa Chadema wanawajibika kuwalinda na kuwatunza wastaafu hao.
"Tuna wajibu mkubwa wa kuwalinda na kuwaheshimu Wazee waliomaliza utumishi wao. Tuna kila sababu ya kujivunia utumishi wa Mbowe ndani ya Chama hiki na tunamwambia asiwe mnyonge sisi vijana tuko nae na tunathamini kazi yake na asikae pembeni kwani bado tunamuhitaji." Amesema Kiongozi huyo.
Hiko sawaWakuu,

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Safi sana, Boni anapaswa aendelee kufanya siasa anazoziamini, aache habari za kuegemea kwa mtu. Anapaswa kujifunza.Wakuu,
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob maarufu kama "Boni Yai" akiwa Kwenye Mkutano wa hadhara wa Chama cha Chadema Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro ameeleza kuwa Chama chake kinatambua mchango mkubwa wa Aliyekuwa Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, akimuomba asikae mbali na Chama hicho kutokana na kuhitajika kwake.
Jacob amesisitiza wajibu wa kuendelea kumtumia Mbowe na Wastaafu wengine wa Chama hicho katika ushauri, usuluhishi wa migogoro ndani ya Chama, akisema Wanachama na wapenzi wa Chadema wanawajibika kuwalinda na kuwatunza wastaafu hao.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Tuna wajibu mkubwa wa kuwalinda na kuwaheshimu Wazee waliomaliza utumishi wao. Tuna kila sababu ya kujivunia utumishi wa Mbowe ndani ya Chama hiki na tunamwambia asiwe mnyonge sisi vijana tuko nae na tunathamini kazi yake na asikae pembeni kwani bado tunamuhitaji." Amesema Kiongozi huyo.
Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani Chadema, Boniface Jacob akihutubia wilayani Hai Mkoa wa Kilimanjaro leo Mei 29, amemtaka mwenyekiti wa zamani wa chama hicho, Freeman Mbowe kutokaa pembeni, bali aje kukisaidia chama.
View attachment 3349970
View attachment 3349970
Mwacheni Mbowe apumzike, mumedhalilisha mno kwa ajili ya tamaa ya UWENYEKITI. Sasa UWENYEKITI mumepata ila kwa vile hamna kipawa cha uongozi ndiyo maana mumekwama.
Ndani ya mwezi mmoja Lissu kayakoroga, huyo huko ananyea debe. Uongozi siyo sawa na matako kila mmoja anayo
100%Asiyeamini kwenye no reforms no elections si mwenzetu!
Mbowe sio punguani yaani Toka uchaguzi alikuwa anatukanwa na mashabiki wa Kibaraka Lisu na Hadi Sasa anatukanwa ndio aje kujipendeeza tena?Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani Chadema, Boniface Jacob akihutubia wilayani Hai Mkoa wa Kilimanjaro leo Mei 29, amemtaka mwenyekiti wa zamani wa chama hicho, Freeman Mbowe kutokaa pembeni, bali aje kukisaidia chama.
View attachment 3349970
View attachment 3349970
Bado hamjasema,bebeni roporopo Gwajiboy ndio wanafanya huko kwenu 😂😂Wote wenye mapenzi mema tunawakaribisha chamani
Na Mbowe hawezi kuwa mpumbavu,hao kenge walishindwa kufanya Sasa za ustaarabu ila kumdhalilisha Mbowe.Kwa nini wanatumia nguvu zote hizo kuonyesha kuwa wanamkubali Mbowe? Wanachopaswa kufanya ni:
1. Lissu, Heche na Mnyika kukiri kuwa Mbowe binafsi alichafuliwa sana wakati wa uchaguzi hususan kwenye suala la kulamba asali.
2. Kukiri kuwa kuna walio muunga mkono Mbowe ambao hawakutendewa haki baada ya uchaguzi. Wanapaswa kuwaomba msamaha watu kama Sigrada. Kusema kuwa madai yao sio ya kweli kwa sababu yeye hayajampata ni upuuzi. Avaae kiatu ndie anaejua wapi kina mbana.
3. Watambue mchango wa G-55 kwa Chadema hata kama baadhi yao wamehamia chama kingine cha siasa.
4. Kuacha na kuwasihi wafuasi wao kuacha kutumia kejeli na matusi dhidi ya wasio unga mkono uongozi uliopo na muelekeo wa chama chao. Kama vile Boni mwenyewe asivyotaka kuitwa msaliti kwa kumuunga mkono Lissu, wao nao wasiitwe wasaliti kwa kutofautiana na Lissu.
Boni asipofanya hivi, yote anayofanya yataonekana kuwa ni unafik na kujikomba kwa utawala mpya. Amuige Sugu ambae hatujamsikia akiwasemea ovyo G-55 ingawa anaunga mkono uongozi uliopo na sera zake.
Chadema inatakiwa kuwa na platform ndani yake ambayo itasikiliza na kushughulikia malalamiko ya wanachama wao. Watu kama Aisha wamesema wazi kuwa waliwasiliana na Heche na Mnyika kuwaelezea concerns zao lakini walipuuzwa. Wanatakiwa kubadilika na kuonyesha unyenyekevu kwa wanachama wao bila kujali tofauti zao.
Amandla...
Ilianza pale mlipomchafua Mbowe kwamba anakula hela za mama AbdulHii huruma kutokea mboga mboga huko imeanza lini?
Ilianza pale mlipomchafua Mbowe kwamba anakula hela za mama Abdul
Ndio maana amewasusaKwa hiyo yeye aliuridhia huo usajili was dirisha dogo kwa hela za mama Abduli kwenu?