MNFUMAKOLE
JF-Expert Member
- Nov 14, 2014
- 1,775
- 2,402
Safi sana Boni!! unauelewa mkubwa!!Wakuu,
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob maarufu kama "Boni Yai" akiwa Kwenye Mkutano wa hadhara wa Chama cha Chadema Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro ameeleza kuwa Chama chake kinatambua mchango mkubwa wa Aliyekuwa Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, akimuomba asikae mbali na Chama hicho kutokana na kuhitajika kwake.
Jacob amesisitiza wajibu wa kuendelea kumtumia Mbowe na Wastaafu wengine wa Chama hicho katika ushauri, usuluhishi wa migogoro ndani ya Chama, akisema Wanachama na wapenzi wa Chadema wanawajibika kuwalinda na kuwatunza wastaafu hao.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Tuna wajibu mkubwa wa kuwalinda na kuwaheshimu Wazee waliomaliza utumishi wao. Tuna kila sababu ya kujivunia utumishi wa Mbowe ndani ya Chama hiki na tunamwambia asiwe mnyonge sisi vijana tuko nae na tunathamini kazi yake na asikae pembeni kwani bado tunamuhitaji." Amesema Kiongozi huyo.
Boni ni Kiongozi Mkuu, Jamaa anajua sana KuzungumzaBoni akiendelea hivi atafika mbali..Mungu amtie ujasiri
Ila kweli Lisu alikuwa na tamaa sana ya uenyekiti.Mwacheni Mbowe apumzike, mumedhalilisha mno kwa ajili ya tamaa ya UWENYEKITI. Sasa UWENYEKITI mumepata ila kwa vile hamna kipawa cha uongozi ndiyo maana mumekwama.
Ndani ya mwezi mmoja Lissu kayakoroga, huyo huko ananyea debe. Uongozi siyo sawa na matako kila mmoja anayo
Kwa nini wanatumia nguvu zote hizo kuonyesha kuwa wanamkubali Mbowe? Wanachopaswa kufanya ni:
1. Lissu, Heche na Mnyika kukiri kuwa Mbowe binafsi alichafuliwa sana wakati wa uchaguzi hususan kwenye suala la kulamba asali.
2. Kukiri kuwa kuna walio muunga mkono Mbowe ambao hawakutendewa haki baada ya uchaguzi. Wanapaswa kuwaomba msamaha watu kama Sigrada. Kusema kuwa madai yao sio ya kweli kwa sababu yeye hayajampata ni upuuzi. Avaae kiatu ndie anaejua wapi kina mbana.
3. Watambue mchango wa G-55 kwa Chadema hata kama baadhi yao wamehamia chama kingine cha siasa.
4. Kuacha na kuwasihi wafuasi wao kuacha kutumia kejeli na matusi dhidi ya wasio unga mkono uongozi uliopo na muelekeo wa chama chao. Kama vile Boni mwenyewe asivyotaka kuitwa msaliti kwa kumuunga mkono Lissu, wao nao wasiitwe wasaliti kwa kutofautiana na Lissu.
Boni asipofanya hivi, yote anayofanya yataonekana kuwa ni unafik na kujikomba kwa utawala mpya. Amuige Sugu ambae hatujamsikia akiwasemea ovyo G-55 ingawa anaunga mkono uongozi uliopo na sera zake.
Chadema inatakiwa kuwa na platform ndani yake ambayo itasikiliza na kushughulikia malalamiko ya wanachama wao. Watu kama Aisha wamesema wazi kuwa waliwasiliana na Heche na Mnyika kuwaelezea concerns zao lakini walipuuzwa. Wanatakiwa kubadilika na kuonyesha unyenyekevu kwa wanachama wao bila kujali tofauti zao.
Amandla...
Ndio maana amewasusa
Umeandika kichawa sanaMwacheni Mbowe apumzike, mumedhalilisha mno kwa ajili ya tamaa ya UWENYEKITI. Sasa UWENYEKITI mumepata ila kwa vile hamna kipawa cha uongozi ndiyo maana mumekwama.
Ndani ya mwezi mmoja Lissu kayakoroga, huyo huko ananyea debe. Uongozi siyo sawa na matako kila mmoja anayo
Kajifunze kuandika kiswahi kwa ufasaha kwanzaMwacheni Mbowe apumzike, mumedhalilisha mno kwa ajili ya tamaa ya UWENYEKITI. Sasa UWENYEKITI mumepata ila kwa vile hamna kipawa cha uongozi ndiyo maana mumekwama.
Ndani ya mwezi mmoja Lissu kayakoroga, huyo huko ananyea debe. Uongozi siyo sawa na matako kila mmoja anayo
Binafsi kuanzia 2015 sijawahi muamini Mbowe kuwa anafanya kazi ya upinzani.Wakuu,
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob maarufu kama "Boni Yai" akiwa Kwenye Mkutano wa hadhara wa Chama cha Chadema Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro ameeleza kuwa Chama chake kinatambua mchango mkubwa wa Aliyekuwa Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, akimuomba asikae mbali na Chama hicho kutokana na kuhitajika kwake.
Jacob amesisitiza wajibu wa kuendelea kumtumia Mbowe na Wastaafu wengine wa Chama hicho katika ushauri, usuluhishi wa migogoro ndani ya Chama, akisema Wanachama na wapenzi wa Chadema wanawajibika kuwalinda na kuwatunza wastaafu hao.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Tuna wajibu mkubwa wa kuwalinda na kuwaheshimu Wazee waliomaliza utumishi wao. Tuna kila sababu ya kujivunia utumishi wa Mbowe ndani ya Chama hiki na tunamwambia asiwe mnyonge sisi vijana tuko nae na tunathamini kazi yake na asikae pembeni kwani bado tunamuhitaji." Amesema Kiongozi huyo.
Wapi na lini Mbowe alidhalilishwa? Kama ni mambo ya kampeni hata Lissu naye alitukanwa sana na vijana wa Mbowe.Mwacheni Mbowe apumzike, mumedhalilisha mno kwa ajili ya tamaa ya UWENYEKITI. Sasa UWENYEKITI mumepata ila kwa vile hamna kipawa cha uongozi ndiyo maana mumekwama.
Ndani ya mwezi mmoja Lissu kayakoroga, huyo huko ananyea debe. Uongozi siyo sawa na matako kila mmoja anayo
Hakuna hekima yoyote hapo. Mimi sio Chadema na niliwatahadharisha kuhusu Mbowe kutokuwa Mwenyekiti wa Chadema. Mkamtukana hadi matusi ya nguoni. Sasa chama kinakufa mnamlilia arudi. Hadi life kabisa ndio mjue umuhimu wa mby.Hekima na Busara kudos Boniyai 💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐
Wewe chawa kaa kimya, haya mambo hayakuhusu! Kaa safisha viatu na vilemba vya Samia ndio size yako!Mbowe sio punguani yaani Toka uchaguzi alikuwa anatukanwa na mashabiki wa Kibaraka Lisu na Hadi Sasa anatukanwa ndio aje kujipendeeza tena?
Chadomo pambaneni na Hali yenu,Mbowe Yuko busy na Biashara,mlisema anakula pesa za mama Abdul Sasa kiherehere Cha kumtafuta ni Cha nini?
Watu wote wenye akili Huwa hawako tayari kujibizana na mbumbumbu hiyo sio tuu sifa ya akili Bali Nguvu,the likes of Samia , umewahi sikia anajibizana na loosers?
Mtanyooka awamu hii ,awakaushie hivyo hivyo muozee jelaWewe chawa kaa kimya, haya mambo hayakuhusu! Kaa safisha viatu na vilemba vya Samia ndio size yako!
Kiswahi=Kiswahili.Kajifunze kuandika kiswahi kwa ufasaha kwanza
Jiwe limetupwa gizani na limekupata wewe, poleUmeandika kichawa sana
Kwa vile nilijuwa nawalenga nyie machawaUmeandika kichawa sana
Ili iweje? Mambo ya mofimu, fonimu, vishazi ni kwa ajili ya NECTA tu, huku tunafikisha ujumbe tuKajifunze kuandika kiswahi kwa ufasaha kwanza
Soma upya ulichoandika. Kwanza unakataa hujui kama Mbowe alidhililishwa, halafu sentensi ya pili unakubali kwa kusema Lissu pia alidhalilishwa.Wapi na lini Mbowe alidhalilishwa? Kama ni mambo ya kampeni hata Lissu naye alitukanwa sana na vijana wa Mbowe.
Tatizo lako wewe una chuki binafsi na Lissu. After all wewe ni mccm na chawa wa Samia mambo ya Chadema hayakuhusu.Soma upya ulichoandika. Kwanza unakataa hujui kama Mbowe alidhililishwa, halafu sentensi ya pili unakubali kwa kusema Lissu pia alidhalilishwa.
Yaani wewe ukiwa na kesi Mahakamani utafungwa tu hata kama una haki