Siyo lazima ikawa hivyo unavyofikiri.Hata kumnenea mtu uongo imekatazwa piaImeisha hiyo 🐼
Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu mwenzake huku akiwa amemwacha Mungu wa mbinguni moyoni mwake
Mzee Mbowe kaacha kitu kibaya sana kwenye hiki CHAMAZamani ilikuwa ni vigumu sana kuwakuta Chawa Chadema 😄
Very philosophical comment... Brilliant piece.Ukiusoma huu ujumbe, unabaki kusikitika sana kwa vijana hawa wa kitanzania.
Anasema 'amejifunza kitu kikubwa' lakini ukweli ni kwamba hajajifunza chochote
Sasa huyu mwenyekiti wa kanda atafanyaje kazi na lisu ambae hamkubali?
Sawa Bon Yai.Wakuu ujumbe wa Boni kwa boss wake wa zamani
==
Freeman Aikaeli
Mbowe Kwangu umekuwa siyo tu kiongozi wangu wa chama bali ni mwalimu, mwanafalsafa,mkufunzi,mzazi,mlezi na rafiki wa kweli. Wewe ni mfano wa kuigwaNashukuru kwa kuniamini na kunipa jukumu la kuwa Mwenyekiti wa kampeni zako katika uchaguzi mkuu wa chama January 2025.
Unajua,umeona, umesikia na umeshuhudia hadi sekunde ya mwisho nilivyo simama na wewe na nilivyojitoa kwa hali na mali kufanya jukumu lile zito lililokuwa mbele yetu lakini bahati haikuwa upande wetu.
Sikuwahi kufikiri au kudhani ipo siku mwalimu wangu wa siasa atanipa mimi mwanafunzi wake kazi ya kusimamia kazi yake ya siasa Hata hivyo nachezwa na machale, ninavyokufahamu itakuwa ulikuwa kuna kitu ulitaka nijifunze kwenye majukumu yangu ya kusimamia kampeni zako.
Moja ya funzo kubwa na la ajabu nitalikumbuka daima katika uchaguzi huu ni pale uliponieleza "Watu wako rasmi uliowapa jukumu la kufanya kampeni wasifanye Jambo lolote bila idhini yako, na pia katika kila jambo tutakalofanya tusikiumize chama kwa namna yoyote ile au kwa kisingizio chochote kile"Mapenzi yako kwa CHADEMA na wanachama wa CHADEMA ndiyo yalinifanya nikubali kubeba Jukumu hili zito,ulistahili "support" yangu hata kama Dunia nzima ingekusaliti kisiasa na kukugeuka bado mimi ningebakia peke yangu kuwa pembeni yako.
Ndiyo maana nilipoona kura zetu hazijatosha sikuhitaji ruhusa yako kusaini fomu ya matokeo kuwa Mheshimiwa Tundu Lissu ni mshindiNa nilipokujulisha matokeo ya uchaguzi kuwa wajumbe 482 walihitaji uwe Mwenyekiti wao na wajumbe 513 wameamua ukapumzike, watu wengine uliokuwa nao chumba cha VIP wakiwa wanalia wewe ulinyanyuka ukanikumbatia kisha ukachukua simu yako ili kupongeza na kukubali matokeo kupitia ukurasa wako wa X na kuanza kujadili swala la kurudi ukumbini tayari kupokea matokeo rasmi.
Hili ni somo kubwa sana kwangu.Wewe utabakia kuwa Jenerali wangu wa kweli na kiongozi wangu siku zote. Nitakuwa tayari siku yoyote na mahala popote kutumwa au kupokea majukumu kutoka kwako hata nje ya siasa.Nakutakia maisha mapya nje ya majukumu makubwa ya kisiasa.
"We protect the Purpose and not a person"
Boniface Jacob (Boni Yai)
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani
Thursaday, Jan 23, 2025.
View attachment 3211135
Itabidi afanye nae, maana alitumia Haki yake ya kumtaka Mbowe,kula hazikutoshaSasa huyu mwenyekiti wa kanda atafanyaje kazi na lisu ambae hamkubali?
Boni Yai, wewe bado ni KIJANA na una very bright future, kwa ufupi ni asset ya chama..Samehe, shirikiana na Lissu muiokoe Tanganyika yetu
Watibu majerahaAsamehe kwani kuna aliemkosea Mkuu?
Huyo ndiye Freeman Aikael Mbowe haswa, mtu mwenye weledi, ustaarabu na maono makubwa. Tunajua kuna siku Ulimwengu utakutunuku!Wakuu ujumbe wa Boni kwa boss wake wa zamani
==
Freeman Aikaeli
Mbowe Kwangu umekuwa siyo tu kiongozi wangu wa chama bali ni mwalimu, mwanafalsafa,mkufunzi,mzazi,mlezi na rafiki wa kweli. Wewe ni mfano wa kuigwaNashukuru kwa kuniamini na kunipa jukumu la kuwa Mwenyekiti wa kampeni zako katika uchaguzi mkuu wa chama January 2025.
Unajua,umeona, umesikia na umeshuhudia hadi sekunde ya mwisho nilivyo simama na wewe na nilivyojitoa kwa hali na mali kufanya jukumu lile zito lililokuwa mbele yetu lakini bahati haikuwa upande wetu.
Sikuwahi kufikiri au kudhani ipo siku mwalimu wangu wa siasa atanipa mimi mwanafunzi wake kazi ya kusimamia kazi yake ya siasa Hata hivyo nachezwa na machale, ninavyokufahamu itakuwa ulikuwa kuna kitu ulitaka nijifunze kwenye majukumu yangu ya kusimamia kampeni zako.
Moja ya funzo kubwa na la ajabu nitalikumbuka daima katika uchaguzi huu ni pale uliponieleza "Watu wako rasmi uliowapa jukumu la kufanya kampeni wasifanye Jambo lolote bila idhini yako, na pia katika kila jambo tutakalofanya tusikiumize chama kwa namna yoyote ile au kwa kisingizio chochote kile"Mapenzi yako kwa CHADEMA na wanachama wa CHADEMA ndiyo yalinifanya nikubali kubeba Jukumu hili zito,ulistahili "support" yangu hata kama Dunia nzima ingekusaliti kisiasa na kukugeuka bado mimi ningebakia peke yangu kuwa pembeni yako.
Ndiyo maana nilipoona kura zetu hazijatosha sikuhitaji ruhusa yako kusaini fomu ya matokeo kuwa Mheshimiwa Tundu Lissu ni mshindiNa nilipokujulisha matokeo ya uchaguzi kuwa wajumbe 482 walihitaji uwe Mwenyekiti wao na wajumbe 513 wameamua ukapumzike, watu wengine uliokuwa nao chumba cha VIP wakiwa wanalia wewe ulinyanyuka ukanikumbatia kisha ukachukua simu yako ili kupongeza na kukubali matokeo kupitia ukurasa wako wa X na kuanza kujadili swala la kurudi ukumbini tayari kupokea matokeo rasmi.
Hili ni somo kubwa sana kwangu.Wewe utabakia kuwa Jenerali wangu wa kweli na kiongozi wangu siku zote. Nitakuwa tayari siku yoyote na mahala popote kutumwa au kupokea majukumu kutoka kwako hata nje ya siasa.Nakutakia maisha mapya nje ya majukumu makubwa ya kisiasa.
"We protect the Purpose and not a person"
Boniface Jacob (Boni Yai)
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani
Thursaday, Jan 23, 2025.
View attachment 3211135
Mwenyekiti wa sasa alisema kwenye uchaguzi huu, kulikuwa na frictions, ..nimesimamia hapo kiongozi..ila kama frictions zilimgusaAsamehe kwani kuna aliemkosea Mkuu?