sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Mbowe kasalitiwa.Mbowe alitaka kuonesha vile demokrasia ilivyo na sio kupata uongozi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe kasalitiwa.Mbowe alitaka kuonesha vile demokrasia ilivyo na sio kupata uongozi.
Mmh! Chawa huwa anafaidi malazi na chakula toka kwa host wake. Hivyo kulia kwao kunatoa taarifa kuwa walimtegemea sana mbowe😂 😂 😂 Kumbe kuna watu walilia Mbowe kushindwa?
Watakuwa kina John Mrema hao.
Ule ni uchaguzi sio usalitiMbowe mtu safi saana roho ya kizungu.
Mtu mwenye choyo kama Lissu hawanaga utu kabisa.
Mbowe alivyosalitiwa kama unaipenda chadema na Tanzania lazima usikie maumivu.
Kwahiyo alikwenda na matokeo yake pale?Mbowe kasalitiwa.