Pre GE2025 Boni Yai: Mbowe utabakia kuwa Jenerali na kiongozi wangu siku zote, Nitakuwa tayari siku yoyote kupokea majukumu kutoka kwako hata nje ya siasa

Pre GE2025 Boni Yai: Mbowe utabakia kuwa Jenerali na kiongozi wangu siku zote, Nitakuwa tayari siku yoyote kupokea majukumu kutoka kwako hata nje ya siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
😂 😂 😂 Kumbe kuna watu walilia Mbowe kushindwa?

Watakuwa kina John Mrema hao.
Mmh! Chawa huwa anafaidi malazi na chakula toka kwa host wake. Hivyo kulia kwao kunatoa taarifa kuwa walimtegemea sana mbowe
 
Uchaguzi umeisha, aliyeshinda kashinda kihalali, aliyeshindwa kashindwa kihalali, uchaguzi ulikuwa ni wa HURU na HAKI, mtifuano ni kampeni za kidemokrasia, sasa ni wakati wa kupongezana kula na kunywa na kuanza kazi.

Tusiwe kama watoto wadogo walionyang'anyana pipi.
 
Nilivyomfahamu Boniyai nilichukulia ni mwanademokrasia na mwenye kuamini katika ushindani.Lakini baada ya kuona hajampongeza Lisu nimeanza kubadili mawazo
 
Back
Top Bottom