Boni Yai yupo na hali gani ?

Wakuu, uchaguzi umekwisha mnyukano umekwisha sasa ni wakati wa kutekeleza sera walizoziahidi washindi.

Mwenyekiti mpya Tundu Lissu akiunganishe chama.
 
Achana na huyo boni yai kuna huyu Yericko Nyerere alikuwa mkali kwenye midahalo utasema labda huyo mbowe dingi yake,,, huko aliko Mavi yamembana,, asione aibu aje tu tunamkaribisha APPT maendeleo ila aache kamdomo
 
Unashindwaje wakati asilimia kubwa ya umma unatamka TL ?
Umma wote sasa ndo mda wa kuwabeza waliokua hawamtaki TAL...nini sasa maana demokrasia?
Unashndwa kuja na uzi kureform mnaanza manyanyaso kwnz na kuwatweza wengine si ndio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…