Meya huyo wa Zamani wa Kinondoni na Ubungo ameongozana na Wakili wake Hekima Mwasipu.
Boniface Jacob ambaye ni Mwanachama wa Chadema amefikia kwenye kituo cha polisi cha Oysterbay akiwa sambamba na wakili wake Hekima Mwasipu, ikiwa ni siku chache toka kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam (SACP) Muliro Jumanne Muliro kutaka kuacha upotoshaji mitandaoni.
Ipo haja, kwa yeyote mwenye malalamiko yanayohusiana na vyombo vya dola vya Kitaifa kabla ya kuandika ugoro wake mitandaoni akalazimika kwanza kwenda kwenye chombo husika kupata details sahihi, ndipo aruhusiwe kwenda kuandika ugoro wake!......
N. B, Malalamiko hasa yanayohusisha kifo /vifo.
# case closed!
°Suala hili lichukuliwe haraka sana na jeshi letu.
Ipo haja, kwa yeyote mwenye malalamiko yanayohusiana na vyombo vya dola vya Kitaifa kabla ya kuandika ugoro wake mitandaoni akalazimika kwanza kwenda kwenye chombo husika kupata details sahihi, ndipo aruhusiwe kwenda kuandika ugoro wake!......
# case closed!
Dhana ya negativity mliyomezeshwa na viongozi wenu chadoma, ni shida, hamuwezi ona kama kuna lolote Zuri, maishani mwenu! Ukishamezeshwa chadema pill, inaondoa ufahamu kwanza, inakupa msononeko wa moyo, inakupa ujuaji mwingi hata kama ni zezeta, inakupa uwana harakati njaa, once you take a pill, ubishi usio na maana ndipo huanzia!
Aina ya vidonge!
-chadema super argue pill drugs- 1
-chadema moderate pill, hii ni ya wastani, hiyo namba moja ndiyo hatari sana.
Meya huyo wa Zamani wa Kinondoni na Ubungo ameongozana na Wakili wake Hekima Mwasipu.
Boniface Jacob ambaye ni Mwanachama wa Chadema amefikia kwenye kituo cha polisi cha Oysterbay akiwa sambamba na wakili wake Hekima Mwasipu, ikiwa ni siku chache toka kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam (SACP) Muliro Jumanne Muliro kutaka kuacha upotoshaji mitandaoni