Boniface Jackob afika kituo cha Polisi cha Oysterbay ili akamatwe kama alivyoagiza RPC

Boniface Jackob afika kituo cha Polisi cha Oysterbay ili akamatwe kama alivyoagiza RPC

Dhana ya negativity mliyomezeshwa na viongozi wenu chadoma, ni shida, hamuwezi ona kama kuna lolote Zuri, maishani mwenu!
Ukishamezeshwa chadema pill, inaondoa ufahamu kwanza, inakupa msononeko wa moyo, inakupa ujuaji mwingi hata kama ni zezeta, inakupa uwana harakati njaa, once you take a pill, ubishi usio na maana ndipo huanzia!
Aina ya vidonge!
-chadema super argue pill drugs- 1
-chadema moderate pill, hii ni ya wastani, hiyo namba moja ndiyo hatari sana.

"CCM inaungwa mkono zaidi na watu wajinga na akina mama. CHADEMA inaungwa mkono zaidi na wasomi na vijana" - Utafiti wa TWAWEZA.

Wewe upo kwenye kundi gani?
 
"CCM inaungwa mkono zaidi na watu wajinga na akina mama. CHADEMA inaungwa mkono zaidi na wasomi na vijana" - Utafiti wa TWAWEZA.

Wewe upo kwenye kundi gani?
Ushahidi huu hapa

IMG-20180405-WA0006.jpeg
 
Huo mwili
Meya huyo wa Zamani wa Kinondoni na Ubungo ameongozana na Wakili wake Hekima Mwasipu.

Boniface Jacob ambaye ni Mwanachama wa Chadema amefikia kwenye kituo cha polisi cha Oysterbay akiwa sambamba na wakili wake Hekima Mwasipu, ikiwa ni siku chache toka kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam (SACP) Muliro Jumanne Muliro kutaka kuacha upotoshaji mitandaoni


Pia soma
- Mauaji ya Robert Mushi ndugu wa aliyekuwa Meya wa Ubungo Boniface Jacob polisi wanahusika?

- Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi

- Utata sakata la ndugu wa Boniface Jacob: Kupotea mpaka kukutwa mochwari ya polisi, Amana wapigilia msumari!
Safi bon matagi kama sio muhalifu huogopi polisi!
 
Kuna yule kijana kule Bukoba aliyesema maneno ya uchochezi, hajaitwa hata kwenye kamati ya kata. Boniface kafuatwa jumbani yake saa Saba usiku. Hawakumkuta.
 
Baada ya kuripoti kwa RPC Kinondoni watuhumiwa Boniface Jacob na G Malisa wamepelekwa kwa Kamanda wa Kanda maalum ya DSM afande Muliro kwa mahojiano

Source: Mwananchi
 
Chadema ni majitu majinga sana
Wa
Chadema ni majitu majinga sana
Mara nyingi mpumbavu hujiona kuwa ni mwelevu kama ulivyoonyesha hapa.

Kulikuwa na haja gani ya matusi kwa chama, hata hivyo huyu Boni anapigania haki ya nduguye, Je ungekuwa wewe ndo ndugu yako ameuliwa usingepaza sauti? Acha upumbavu.
 
Ipo haja, kwa yeyote mwenye malalamiko yanayohusiana na vyombo vya dola vya Kitaifa kabla ya kuandika ugoro wake mitandaoni akalazimika kwanza kwenda kwenye chombo husika kupata details sahihi, ndipo aruhusiwe kwenda kuandika ugoro wake!......
N. B, Malalamiko hasa yanayohusisha kifo /vifo.
# case closed!
°Suala hili lichukuliwe haraka sana na jeshi letu.
Wewe ni Malaya wa kisiasa hata akili zako zimedumaa!!Kuwa Mwana CCM ni laana tosha
 
Back
Top Bottom